potential girl
Member
- Aug 7, 2013
- 71
- 15
Mmh Wewe Ndo unashida na ungeona hata aibu kuandika hapa ... Unahisi na wanachuo wenzako wamefanyiwa kama Wewe?
Taaluma ni juhudi ya mtu binafsi. Majengo, jina la chuo au Prof. waingizi maarifa kichwani mwa mwanachuo bali juhudi yako ya kujifunza. Hata ungeenda chuo gani kama husomi unataka kununua cheti hiyo ni juu yako juu ya chuo. Kuna watu wanashule yao ya ukweli toka MU wewe huna shule una cheti haya sasa tuone nani zaidi.
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.

Ok, sitaki kunyoosha vidole kwa watu au taasisi fulani lakini ukweli unabaki kwamba hii nchi inabidi warekebeshi elimu yetu. Mimi nimesoma degree yangu nje na nilikuwa na mpango wa kusoma Masters Tanzania lakini ukipiga mahesabu madarasa yalivyo, lecturers ambavyo sio cooperative, jinsi vyuo havina IT support. Naishia kusave nirudi kupiga Masters yangu nje.
vipi ilipelekwa kwa external supervisor?