puppa
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 379
- 176
habari ndugu zangu? mimi ni dogo mwenye umri wa miaka 17, mwanzoni mwa mwaka huu niliapply chuo kupitia nacte ngazi ya diploma clinical medicine, matokeo yalivyo toka mwezi uliopita nikachaguliwa chuo cha Tanzania training center for international health.
juzi niliwapigia simu uongozi wa chuo ili kupata information za chuo 'uongozi wakaniambia kuwa chuo akipokei wanafunz wa diploma wala certificate ila wanachukua wanafunz wa AMO assistant medical officer, kwahiyo nacte walifanya makosa kuwapangia wanafunz chuo iko wakaniambia niongee na nacte.
jana nimeongea na nacte wakaniambia kuwa chuo kimesajiliwa na kinatoa certificate na diploma. sasa mimi nashindwa kuwaelewa kabisa nifanye nini hapo naombeni mnisaidie na kibaya zaidi second round selection ya vyuo imepita.