puppa
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 379
- 176
habari?mimi ni kijana wa miaka 21 uref ft 6 inch 8,nasoma chuo nipo mwaka wa pili nachukua diploma ya clinical medicine.
napenda sana mchezo wa basketball pia nauweza sana tena sana,kutokana na kipaji changu kuna wazungu 3 walinifata wakaniambia kuwa wanataka waendeleze kipaji changu,mwanzoni mwa mwez 1 nilienda home na hao wazungu wakaongea na wazaz na wazazi wamekubali.tatzo ni kwamba tar 27\3\ chuoni tuna mitihan ya end of the semster na lazima kuifanya na kibaya zaidi wazungu wanaondoka tarehe hiyo hiyo kuhusu passport visa kila kitu tayari.kitu kinachonipa uoga nikienda marekani halafu katika majaribio nika fail na uku chuo nimekacha naona utakuwa mtihani kwangu.naombeni ushauri tafadhali