Naombeni msaada wana JF

Naombeni msaada wana JF

Jamani.....humu ndani mnanichekesha.Pole dada jamani tumsaidieni mwenzetu
 
Yani wote tunasoma na kuishia kusema pole tu jamani?Naamini wengi wana uwezo wa kumsaidia chochote, tumtumie hata 2,000 tu kila mmoja itafanya kitu.Atakaeweza kutuma zaidi amtumie.

Pole mamii, Mungu ni mwema, uwe na imani na kesho utakua Same.
 
Unajua naweza kku2mia but ukaja uka2mia tena kwa mambo mengine na ukawa haujafikia lengo lako la kuondoka dar ndio maana nimekuambia hivyo ili nikiku2mia uende kukata tkt moja kwa 1 c unajua hela ukiwa nayo haikoc ma2miz?
 
Bac ww naomba ujitahid ukipata hiyo elfu kumi mm nitaku2mia hiyo elfu 15 niliyokuahid wala ucjal kuhuxu hilo dada yangu

Hakuna hata dalili ya kuipata ndugu yangu ujue kama una chochote mkononi hata wenye basi unaweza kuwalilia wakanisaia ila sina hata pakuanzia.Nakuomba nianzishie ndugu yangu.
 
Yani wote tunasoma na kuishia kusema pole tu jamani?Naamini wengi wana uwezo wa kumsaidia chochote, tumtumie hata 2,000 tu kila mmoja itafanya kitu.Atakaeweza kutuma zaidi amtumie.

Pole mamii, Mungu ni mwema, uwe na imani na kesho utakua Same.

Nashukuru kwa moyo wako ndugu nawe ubarikiwe.
 
Unajua naweza kku2mia but ukaja uka2mia tena kwa mambo mengine na ukawa haujafikia lengo lako la kuondoka dar ndio maana nimekuambia hivyo ili nikiku2mia uende kukata tkt moja kwa 1 c unajua hela ukiwa nayo haikoc ma2miz?

Kaka shida nilionayo naijua mimi SIWEZI kutumia hiyo pesa na ukiituma nitasema hapahapa.
 
Kama huyu ni mumeo wa ndoa umejaribu kuripoti kwa washenga wenu au hamkuwa na wasimamizi? na je kama simu yake inapatikana umeripoti ustawi wa jamii maana ana jukumu la kutoa matumizi yake ?
 
tatizo siku hizi watu wamejaa sura za utapeli waziwazi
Msaidie chochote hata kidogo ndio sadaka zenyewe. Akikutapeli 2,000 sio sawa na 50,000. Pia hutoi ili kupata kitu, unatoa ili kumuwezesha.
 
tatizo siku hizi watu wamejaa sura za utapeli waziwazi

Matapeli wapo tangu shetani alipomwasi Mungu kaka.Kama vipi nikatie tiketi nije unikabidhi ubungo napanda gari ukiwa unaniona .
 
Kama huyu ni mumeo wa ndoa umejaribu kuripoti kwa washenga wenu au hamkuwa na wasimamizi? na je kama simu yake inapatikana umeripoti ustawi wa jamii maana ana jukumu la kutoa matumizi yake ?

Ndugu mtu yuko kigoma mimi niko Dar nitambanaje kisheria? Maisha hatuanzia hapa dar kwahiyo wasimazi wa ndoa hapa hawapo.
 
Bac ucjal nikitoka kazin nitakuchek ucjal kama unatambua xhida uliyokua nayo maana mwingine waweza kum2mia akaenda kufanyia mambo mengine na na lengo unakuta halijatimia
 
Bac ucjal nikitoka kazin nitakuchek ucjal kama unatambua xhida uliyokua nayo maana mwingine waweza kum2mia akaenda kufanyia mambo mengine na na lengo unakuta halijatimia

Siwezi kufanyia mambo mengine ndugu wewe nisadie na nitasema hapa hapa kwamba nimepata msaada kiasi flani toka kwa mtu flani.
 
Ila umechangamka.

Nahitaji msaada kiukweli kwa maana nina shid ya ukweli hata akinikatia tiketi na kuniingiza kwenye basi la Same niko tiari ili apate kuamini kwamba wapo wenye shida kweli na matapeli.
 
Back
Top Bottom