Naombeni msaada wana JF

Naombeni msaada wana JF

mama asilimia 80 ya wana JF wanastress tena wengine zaidi yako wengine wana hela hawana kitu fulani ,wengine wanakila kitu hawana hela basi tafrani tupu kusaidiwa na mtu mwenye stress ni kazi sana chakachua kichwa jinsi ya kujikwamua hata ukipata elfu 10 dandia fuso pale ubungo mradi ufike nyumbani,nyumbani ni nyumbani
 
Hela ya internet bundle umetoa wapi?
hapa sio mahakamani kama unamsaidia msaidie akikwambia majibu mengine unaweza ukabaki mdomo wazi kumbuka huyo ni mtoto wa kike usitake kujua kila kitu ,anaonekana ana shida kweli
 
Hela ya internet bundle umetoa wapi?
Rafiki yangu wa jirani ndio alinunulia na ndio amenipa ushauri wa kujaribu kama naweza kupata msaada hata wa hiyo tiketi ya kwenda Same.
 
mama asilimia 80 ya wana JF wanastress tena wengine zaidi yako wengine wana hela hawana kitu fulani ,wengine wanakila kitu hawana hela basi tafrani tupu kusaidiwa na mtu mwenye stress ni kazi sana chakachua kichwa jinsi ya kujikwamua hata ukipata elfu 10 dandia fuso pale ubungo mradi ufike nyumbani,nyumbani ni nyumbani

Hata shillingi mia sijaipata ndugu ni kweli pesa yoyote nitakayoipata inabidi nitafute usafiri wowote ili tu nifike nyumbani.
 
Duh,,,,,pole sana. Kweli humu kuna watu hawajaguswa kabisa na hili tatizo. Ila nadhani utafanikiwa tu.
 
Pole dada. Humu jf ni pagumu mana wengi wamevurugwa na maisha japo sio wote. Umemfikia wapi na ni kiasi gani kilishopelea?
 
Ndugu sijapata msaada wowote na Mungu ni shahidi ila kuna mdau kasema hapa kwamba atanitumia elfu 15 ila hajatuma kwahiyo wewe nisaidie uwezavyo ili nae akanitumia kesho asubuhi niende ubungo nikawalilie wenye mabasi waweze kunisadia kwa nilicho nacho.jumla ya nauli ni elfu 20 hadi Same.
 
Mi nataka nikupe hio 20,000 ila nataka niende na wewe ubungo nikukatie tiketi,kesho niambie uko tayari?
 
hapa sio mahakamani kama unamsaidia msaidie akikwambia majibu mengine unaweza ukabaki mdomo wazi kumbuka huyo ni mtoto wa kike usitake kujua kila kitu ,anaonekana ana shida kweli
mkuu naona we ni miongoni mwa walioguswa..sasa hauna hata 2000 ya kuchangia kweli??
 
Mi nataka nikupe hio 20,000 ila nataka niende na wewe ubungo nikukatie tiketi,kesho niambie uko tayari?

Kwanini nisikubali? Nipe namba yako ya simu kesho tukutane Ubungo asubuhi.
 
Pole sana mdughu wangu, shigha nirerehe iti ibene lina kini cha kukughenja japo ni kadori.

Eli79 mghenje rumburia maghu ahunduke kaa, itanga na vaathu vagenji tughenjanye yetoni.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom