Naombeni msaada wana JF

Naombeni msaada wana JF

Aisee EMT njoo usome jibu lako.

BTW, huyo mtu alijua uko JF na JF ni rahisi kupata msaada akikutumia wewe? Unafikiri kwanini hakujiunga yeye mwenyewe na kwanini haitumii tena hiyo namba aliyokuelekeza uitumie?

chondechonde usije ukaipoteza hii yako wasamaria wema wakashindwa kuendelea kukusaidia.

Kila la kheri.

Huyo rafiki yangu alikuwa mkoani na hajui hata JF niliona badala ya kwenda Kibaha kuulizia madali kama alivyoniomba nikaona nitangaze namba yake ili awasiliane na hao madalali moja kwa moja endapo wataona namba yake.
 
Last edited by a moderator:
Nimeshapita Chalinze naelekea Same,Kilimanjaro.Namshukuru Mangwelele kwa 16000,namshuku Samboko kwa 5000 na Patience kwa 3500 na Kiepe Yai pokea shukrani zangu kwa kuhimiza japo hukutoa pesa ila umeonyesha moyo na kutumia mda wako kwa kuhimiza.Shukrani zangu za pekee ziwaendee JF kwa kuniruhusu kutumia Jukwaa lao kuombea msaada,nashukuru kwa walioniombea kwa Mungu nashukuru vilevile kwa wale waliokejeli na maneno machafu, tunaambiwa tushukuru katika kila jambo.Wale walioniahidi kunisadia kunipa chochote nitawashukuru mkifanya hivyo kwa maana naweza kununulia mahindi gunia moja kisha nikaanza kuuza rejarereja.Mbarikiwe NYOOOTE!

Unafike mpoa ngedhia jetu ha mlala ne vava.
 
Kuna rafiki yangu flani alitaka kuja dar kuanza maisha akawa ananiambia nimuulizie nyumba za nje ya mji ndipo nikaamua nimtangazie kwa namba yake ya simu hata hivyo aliamua kwenda Tanga kuanza maisha na hata hiyo namba aliicha kutumia.

Anatumia namba gani sasa? Tanga anafanya nini?
 
Back
Top Bottom