- Thread starter
- #21
mhmh kashalishwa limbwata huko huyo alikuwa tapeli wa mapenzi tu jisalimishe kanisani au msikitini kulingana na imani yako humu watu watapita kimya kimya kama hawakujui
Japo ni kweli sijapata msaada wowote ila wapo wengine wananipigia simu hata ya kunishauri na kunipa pole.Nadhani hata humu kuna watu wa msikitini,kanisani,wasio na dini na wenye dini nyingine nisizozijua cha msingi nimpate mtu mwenye moyo wa kunisaidia.