The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,094
- 102,605
Pole sana Mkuu.
Yaani ukafanya biashara na sura kama hizo🤣🤣🤣
Serious?
Kama huyo mwenye miwani ukimuangalia tu anaonekana tapeli😂😂
Umeandika kama vile tulikuwepo mkuu. Picha pekee haitoshi, bora ungeweka audio/videoWanajf kwa kifupi nimetapeliwa na hawa watu hapo chini, wameniuzia gari hewa kwa yeyote anaewafahamu wahusika hapo chini naomba anifahamishe.
Kabisa hakuna cha kuchangia zaidi ya kuangalia hizo picha na kutoa maoni ya kwenye picha tu.haswaaaaaaa.....
Angeleta maelezo ya jinsi alivyotapeliwa,
basi watu wange base huko...
Kaleta picha na masuala ya 'gari hewa'....
No way..
Watu wamebase kwenye picha na gari hewa...
Kinyume na hapo labda upige ramli..
Watu si washamuuliza sana aeleze ilikuwaje yeye amejibu story ni ndefu basi,sasa utamsaidiaje? Watu wameshauri basi arecord audio aiweke watu wasikilize kisha wamshauri nini cha kufanya...Kwa kuweka picha na kusema umeuziwa gari hewa haitoshi.Muulize, Muelekeze ajieleze, afafanue huo utapeli ulitokej
Kama Kisa hajakifafanua, huwezi kumsaidia kaa kimya,..
Hao wenye vitambi ndio hatari,halafu waangalie na machupa yao ya maji,haya yanawasadia kuondoa hofu,wanajifanya wametulia kumbe hapo ukipima BP inasoma 200/150,lakini kwa wale tunaojua matapeli ukiangalia behaviour zao tu utajua hawa ni watu wa dili...Watu wana vitambi kumbe waizi. Peleka picha Kwa polisi watakuwa wanawajua.
huyo mwenye miwani ukimcheki tuu usoni ana kesi ya kujibu..
Kitambi cha wizi,
anaangalia kiwizi,
kakaa kiwizi wizi,
hata miwani amevaa kihuni......
Hicho kitambi ni frexible.....
Akiwa kwenye meza ya makubaliano anakivimbishaa(huoni hata alivyokaa?)
Ukimshtua kina nyweaa
Ungemshtua tuu hapo hata kwa kupiga miguu chiniiii......
Ungeachiwa viti tuu hapo.......
Hata majii haachi.......
Usikute hata hayo maji kayatapeliii



nimecheka sanYaani ukafanya biashara na sura kama hizo
Serious?
Kama huyo mwenye miwani ukimuangalia tu anaonekana tapeli![]()
huyo mwenye miwani ukimcheki tuu usoni ana kesi ya kujibu..
Kitambi cha wizi,
anaangalia kiwizi,
kakaa kiwizi wizi,
hata miwani amevaa kihuni......
Hicho kitambi ni frexible.....
Akiwa kwenye meza ya makubaliano anakivimbishaa(huoni hata alivyokaa?)
Ukimshtua kina nyweaa
Ungemshtua tuu hapo hata kwa kupiga miguu chiniiii......
Ungeachiwa viti tuu hapo.......
Hata majii haachi.......
Usikute hata hayo maji kayatapeliii




Yaani ukafanya biashara na sura kama hizo🤣🤣🤣
Serious?
Kama huyo mwenye miwani ukimuangalia tu anaonekana tapeli![]()