Naombeni msaada nimetapeliwa

bunazi

Senior Member
Nov 24, 2014
116
90
Wanajf kwa kifupi nimetapeliwa na hawa watu hapo chini, wameniuzia gari hewa kwa yeyote anaewafahamu wahusika hapo chini naomba anifahamishe.

IMG_20191202_112214_2.jpeg
IMG_20191202_112212_1.jpeg
IMG_20191202_105703_4.jpeg
 
huyo mwenye miwani ukimcheki tuu usoni ana kesi ya kujibu..

Kitambi cha wizi,
anaangalia kiwizi,
kakaa kiwizi wizi,
hata miwani amevaa kihuni......

Hicho kitambi ni frexible.....
Akiwa kwenye meza ya makubaliano anakivimbishaa(huoni hata alivyokaa?)

Ukimshtua kina nyweaa

Ungemshtua tuu hapo hata kwa kupiga miguu chiniiii......
Ungeachiwa viti tuu hapo.......
Hata majii haachi.......

Usikute hata hayo maji kayatapeliii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom