Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,773
- 40,444
Wewe ushatoa huo msaada au ndio yale yale.Watanzania ni watu ovyo sana, jamaa kaomba msaada, kwa yule ambae anaweza kumsaidia, sasa utakuta watu wengine wamemjibu kwa KUMKEJELI na kumuona mjinga muomba msaada..
Sasa kama mtu hawezi kutoa msaada, kwanini asikae kimya tu, kwanini aje na comments za kijinga??

