Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,253
Umekula Tags kama zote as if wewe ni Masiha ajae haya sasa saidia kuna mchiz kanyaboya kaliwa..
Nipo hapa usijali kabisa
Nipo hapa usijali kabisa
Ni hizi toleo jipya mkuu. Ukiona kuna trafik mbele,unaiswitch inapaa juu kama ndege mkuu
Ungeleta 'hadithi' nzima hapa ili iwe fundisho hata kwa wengine kuchukua tahadhari.Niliwahisi dk za mwisho wakati nimeishaweka pesa ndo maana nilichukua picha kwa sababu walianza kuomba omba pesa nje ya makubaliano
Hajaeleza kisa kizima, utamsaidiaje sasaWatanzania ni watu ovyo sana, jamaa kaomba msaada, kwa yule ambae anaweza kumsaidia, sasa utakuta watu wengine wamemjibu kwa KUMKEJELI na kumuona mjinga muomba msaada..
Sasa kama mtu hawezi kutoa msaada, kwanini asikae kimya tu, kwanini aje na comments za kijinga??
Hapana boss si hivyo mshana jr ni mkongwe hapa na nyuzi zake naona zinapitiwa na wadau wengiAnataka Mshana Jr amsaidie mambo ya ndumba!
Asante sanaNipo hapa usijali kabisa
Muulize, Muelekeze ajieleze, afafanue huo utapeli ulitokejSasa hapo utamsaidiaje?
Hakuna maelezo yeypte zaidi ya picha.
-Gari hewa kauziwaje? Je hilo gari analo au hana? Hewa anamaanisha Bovu au?
-Kaibiwa sehemu gani? Dar au Mkoani?
-Nani alimuunganisha na hao matapeli? Alikutana nao online au?
-Kuna taratibu gani alizifuata za mauziano?
Yeye anasema story ni ndefu hawezi kuiandika basi ampigie simu mshana kisha mshana ataandika yote na watayaweka kwenye main post.
Kama Kisa hajakifafanua, huwezi kumsaidia kaa kimya,..Hajaeleza kisa kizima, utamsaidiaje sasa
Kama ni pesa ndefu ya kuweza kununua gari, hawezi kuwakuta.Nenda hapohapo ulipowapiga picha utawakuta wamekaa
Mkuu haujakumbana na acct zenye kiu. Within a minute pesa haipo, siyo kwa kuhamishwa, kwa kuchukuliwa kabisa.Fanya mpango kazuie zile pesa ulizoweka kwenye acc.
Pia kuwapata au jaribio la kuwapata tumia mbinu uliyotumia kuanza nao mapatano kwa connection zote.
Pole though uzi haujaji dadavua!!
Shida yenu wasukuma mkipata vijihela kidogo mnajifanya mnajuaa na hamtaki kushauriwa.. Sasa umekutana na vijana Wa mjini wanaoijua pesa. Wameshakuweka sawa.Wanajf kwa kifupi nimetapeliwa na hawa watu hapo chini, wameniuzia gari hewa kwa yeyote anaewafahamu wahusika hapo chini naomba anifahamishe.
Asante mkuu ila hapo ni kupapasa tu.Mkuu haujakumbana na acct zenye kiu. Within a minute pesa haipo, siyo kwa kuhamishwa, kwa kuchukuliwa kabisa.
Hao jamaa huwa wamejipanga kisawasawa.
Kama sio mutu ya mara hii itakuwa ya kageraYaani ukafanya biashara na sura kama hizo
Serious?
Kama huyo mwenye miwani ukimuangalia tu anaonekana tapeli![]()
Yaani ukafanya biashara na sura kama hizo🤣🤣🤣
Serious?
Kama huyo mwenye miwani ukimuangalia tu anaonekana tapeli😂😂
ha ha ha haUnapigwa na wazee wenye vitambi mbonyeo,pole sana kweli kila mtu na boya wake
Kumbe mojawapo ni huyo uliyemtaja?




