Naombeni msaada nimetapeliwa

Naombeni msaada nimetapeliwa

Msimcheke hapa tu najaribu kumpa tag
Kwa kifupi alipelekwa kwenye yard iliyoko Morocco.... Huko ndiko alipopigwa
Ila Mpaka dakika hii jamaa a napambana na polisi na mwenye yard
Jamaa ashapewa a, b, c za kufata ili awapate Hao matapeli
Ningekuwa dar ningeinunua kesi hiyo Yaani mpaka kesho saa nane kingeshaeleweka

Ova
Hahahaha broo unaonekana ni mtata kwenye makesi kama hayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom