Naombeni msaada nimetapeliwa

Naombeni msaada nimetapeliwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu uzi unachekesha sana jamani!! Toka jana sijacheka ila kwa comment hiziii Daaahhh!!!!
 
Hahahaaa...

Daah..! Ila inatia huruma

Kutapeli enzi kama hizi..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu uzi unachekesha sana jamani!! Toka jana sijacheka ila kwa comment hiziii Daaahhh!!!!
 
huyo mwenye miwani ukimcheki tuu usoni ana kesi ya kujibu..

Kitambi cha wizi,
anaangalia kiwizi,
kakaa kiwizi wizi,
hata miwani amevaa kihuni......

Hicho kitambi ni frexible.....
Akiwa kwenye meza ya makubaliano anakivimbishaa(huoni hata alivyokaa?)

Ukimshtua kina nyweaa

Ungemshtua tuu hapo hata kwa kupiga miguu chiniiii......
Ungeachiwa viti tuu hapo.......
Hata majii haachi.......

Usikute hata hayo maji kayatapeliii
Ukute na hicho kitambi kakitapeli
 
Mtaniua byie[emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
JF ni shida jamani, mwenzenu anaomba msaada nyie mmemdaka juu kwa juu kwa majibu ya kuvunja mbavu yasiyo na msaada[emoji3]
Hakii nimecheka si kwa hayo majibu

Mwenzetu atakuwa kwenye shock, usawa huu kuuziwa gari hewa ni majanga ujue!
Mshana Jr waeleweshe wadau ilikuwaje watoe mawazo yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom