mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Kile kipindi kinaitwa TUNATEKELEZA.Kwa jinsi alivokaa anatazama TBC

Majambaz kabisaUkiona watu wamekaa baa mchana siku zakazi na maji makuubwa ambayo hayaishi huku wakiongea na simu masaa yote uwe makini Sana kama unabiashara nao. Wengi niwapigaji

Dah unabahati mkuuNimeuza na kununua magari sana, sijawahi kutapeli wala kutapeliwa! Niko Nzega narudi Dar nimeleta Coaster nimemnunulia Mteja wangu! Sijaelewa ameibiwaje!
Mwaka huu mwezi wa Tisa nilikua nauza Rav Four Killitime! Nikapokea simu kutoka kwa jamaa mmoja akijitambulisha kuwa yuko Mwanza! Ameipenda gari na kwamba anaomba kuna MTU ataniunganisha nae ili aikague wakati yeye anakuja kwa ndege!
Baada ya muda kidogo nikapata simu kutoka kwa MTU akiniambia kuwa amejulishwa kuwa nauza gari na hivyo nimpelekee pale Toroka Uje, jirani na Best bite! Akasema ataweka mafuta, nikasema sawa!
Kufika eneo husika, nikampigia simu jamaa. Akaniambia anakuja, akaniambia yuko jirani kidogo, ghafla akaja kijana mmoja hivi, yaani naongea na yule jamaa anasema yuko jirani lakini anakuja namuona kijana mwingine anakuja, amefika akafungua mlango, vipi? Akasema ndio nimekuja kuiona gari, duh! Nikastuka kidogo, kijana yuko very smart! Bahati mbaya sana sana wakati anakaribia gari kuna signal alitoa kwa MTU ambaye alikua mita kadhaa nyuma ya gari, na nilijua kwa sababu wakati anakaribia gari kwa mbele nilikua namuangalia!
Nikacheki kwenye side mirror, nikamuona kweli mtu anakuja! Kwahio nikawa standby, wakaniambia wakague nikasema poa! Tukasogea chini ya mwembe jirani na pale eneo lilikua tulivu sana! Ghafla wakaja jamaa wengine wawili wamevaa Kaunda suit, wakakagua gari wakaniambia wanataka kuitest kwa kuendesha nikasema okay!
Nikajitoa mhanga, nikamjulisha faster ndugu yangu alikua Mwenge, akaanza safari kunifuata, nikaingia kwenye gari nikashusha Laptop yangu, nikabaki pale na jamaa wawili wengine wawili wakaondoka!
Dah, baada ya muda wakarudi! Hata sikuamini, nikachukua gari nikaondoka! Ila I am sure wale jamaa hawakua Wateja! Walikua na jambo lingine.
huyo mwenye miwani ukimcheki tuu usoni ana kesi ya kujibu..
Kitambi cha wizi,
anaangalia kiwizi,
kakaa kiwizi wizi,
hata miwani amevaa kihuni......
Hicho kitambi ni frexible.....
Akiwa kwenye meza ya makubaliano anakivimbishaa(huoni hata alivyokaa?)
Ukimshtua kina nyweaa
Ungemshtua tuu hapo hata kwa kupiga miguu chiniiii......
Ungeachiwa viti tuu hapo.......
Hata majii haachi.......
Usikute hata hayo maji kayatapeliii
Nimeuza na kununua magari sana, sijawahi kutapeli wala kutapeliwa! Niko Nzega narudi Dar nimeleta Coaster nimemnunulia Mteja wangu! Sijaelewa ameibiwaje!
Mwaka huu mwezi wa Tisa nilikua nauza Rav Four Killitime! Nikapokea simu kutoka kwa jamaa mmoja akijitambulisha kuwa yuko Mwanza! Ameipenda gari na kwamba anaomba kuna MTU ataniunganisha nae ili aikague wakati yeye anakuja kwa ndege!
Baada ya muda kidogo nikapata simu kutoka kwa MTU akiniambia kuwa amejulishwa kuwa nauza gari na hivyo nimpelekee pale Toroka Uje, jirani na Best bite! Akasema ataweka mafuta, nikasema sawa!
Kufika eneo husika, nikampigia simu jamaa. Akaniambia anakuja, akaniambia yuko jirani kidogo, ghafla akaja kijana mmoja hivi, yaani naongea na yule jamaa anasema yuko jirani lakini anakuja namuona kijana mwingine anakuja, amefika akafungua mlango, vipi? Akasema ndio nimekuja kuiona gari, duh! Nikastuka kidogo, kijana yuko very smart! Bahati mbaya sana sana wakati anakaribia gari kuna signal alitoa kwa MTU ambaye alikua mita kadhaa nyuma ya gari, na nilijua kwa sababu wakati anakaribia gari kwa mbele nilikua namuangalia!
Nikacheki kwenye side mirror, nikamuona kweli mtu anakuja! Kwahio nikawa standby, wakaniambia wakague nikasema poa! Tukasogea chini ya mwembe jirani na pale eneo lilikua tulivu sana! Ghafla wakaja jamaa wengine wawili wamevaa Kaunda suit, wakakagua gari wakaniambia wanataka kuitest kwa kuendesha nikasema okay!
Nikajitoa mhanga, nikamjulisha faster ndugu yangu alikua Mwenge, akaanza safari kunifuata, nikaingia kwenye gari nikashusha Laptop yangu, nikabaki pale na jamaa wawili wengine wawili wakaondoka!
Dah, baada ya muda wakarudi! Hata sikuamini, nikachukua gari nikaondoka! Ila I am sure wale jamaa hawakua Wateja! Walikua na jambo lingine.
Watu wana brifkesi kabisa maji nk yani kazi kazi hapoWanajf kwa kifupi nimetapeliwa na hawa watu hapo chini, wameniuzia gari hewa kwa yeyote anaewafahamu wahusika hapo chini naomba anifahamishe.

lazima ujitie kitanzi kama wewe ni mtu wa pupaDunia ina mambo mengi sanaWalimwengu huu ndio ushauri wa kumpa mwenzenu comments zinafurahisha
Mkuu mleta mada kapagawa hadi kuwasilisha hoja vizur ameshindwa, usawa huu wa jiwe utapeliwe pesa ya gari lazima apagawe kwanzaWewe gari hewa ushawahi kuiona wapilabda ni aina mpya ya gari
Sidhani sababu kuna nyingine alikuwa anaongea hadi kikabila
Watanzania ni watu ovyo sana, jamaa kaomba msaada, kwa yule ambae anaweza kumsaidia, sasa utakuta watu wengine wamemjibu kwa KUMKEJELI na kumuona mjinga muomba msaada..
Sasa kama mtu hawezi kutoa msaada, kwanini asikae kimya tu, kwanini aje na comments za kijinga??