Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,034
- 4,269
Yaani ukafanya biashara na sura kama hizo🤣🤣🤣
Serious?
Kama huyo mwenye miwani ukimuangalia tu anaonekana tapeli![]()
Kabisa yaani


.Yaani ukafanya biashara na sura kama hizo🤣🤣🤣
Serious?
Kama huyo mwenye miwani ukimuangalia tu anaonekana tapeli![]()


.Mshana atampigia ramli awajueSasa mkuu unamkomalia Mshana Jr ili akusadie nini, badala ukimbilie polisi uko bize JF.... na hao jamaa wamekuhurumia sana wangekufanya na vingine.
Nitaandika yote hayo kwa kirefu ni story ndefu kidogo
Ndio maana waafrika tunaongoza kwa uchawi duniani.Watanzania ni watu ovyo sana, jamaa kaomba msaada, kwa yule ambae anaweza kumsaidia, sasa utakuta watu wengine wamemjibu kwa KUMKEJELI na kumuona mjinga muomba msaada..
Sasa kama mtu hawezi kutoa msaada, kwanini asikae kimya tu, kwanini aje na comments za kijinga??



Mkuu toa basi details umeweka picha tu utafikri kila mtu alikuwepo kipind unatapeliwa?
Tena aliyekubuhu kabisaYaani ukafanya biashara na sura kama hizo🤣🤣🤣
Serious?
Kama huyo mwenye miwani ukimuangalia tu anaonekana tapeli😂😂
gari hewa kivp kaka,? tuelezee kidogoWanajf kwa kifupi nimetapeliwa na hawa watu hapo chini, wameniuzia gari hewa kwa yeyote anaewafahamu wahusika hapo chini naomba anifahamishe.
ungewahi bankNiliwahisi dk za mwisho wakati nimeishaweka pesa ndo maana nilichukua picha kwa sababu walianza kuomba omba pesa nje ya makubaliano