Naombeni msaada nimetapeliwa

Naombeni msaada nimetapeliwa

huyo mwenye miwani ukimcheki tuu usoni ana kesi ya kujibu..

Kitambi cha wizi, anaangalia kiwizi kakaa kiwizi wizi, hata miwani amevaa kihuni......

Hicho kitambi ni frexible.....
Akiwa kwenye meza ya makubaliano anakivimbishaa(huoni hata alivyokaa?)

Ukimshtua kina nyweaa

Ungemshtua tuu hapo hata kwa kupiga miguu chiniiii......
Ungeachiwa viti tuu hapo.......
Hata majii haachi.......
Ahahaaaaaa...!
 
Mkuu kitambi -dynamic....kinaendana na mazingira aliyopo muhusika - ha ha ha
 
Sasa mkuu unamkomalia Mshana Jr ili akusadie nini, badala ukimbilie polisi uko bize JF.... na hao jamaa wamekuhurumia sana wangekufanya na vingine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! Vingine vinini mkuu? Ahahaaaa. Firigisi kabisa
 
Niliwahisi dk za mwisho wakati nimeishaweka pesa ndo maana nilichukua picha kwa sababu walianza kuomba omba pesa nje ya makubaliano
Pole sana kiongozi. Pesa kiasi gani mkuu? Umepigwa lini na haya maboya? Maeneo gani?
 
Mkuu, unamaanisha ni gari inayotumia hewa (gesi) badala ya mafuta..? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni hizi toleo jipya mkuu. Ukiona kuna trafik mbele,unaiswitch inapaa juu kama ndege mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa kweli kuna msaada loh[emoji28][emoji28][emoji28]
 
huyo mwenye miwani ukimcheki tuu usoni ana kesi ya kujibu..

Kitambi cha wizi, anaangalia kiwizi kakaa kiwizi wizi, hata miwani amevaa kihuni......

Hicho kitambi ni frexible.....
Akiwa kwenye meza ya makubaliano anakivimbishaa(huoni hata alivyokaa?)

Ukimshtua kina nyweaa

Ungemshtua tuu hapo hata kwa kupiga miguu chiniiii......
Ungeachiwa viti tuu hapo.......
Hata majii haachi.......
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watanzania ni watu ovyo sana, jamaa kaomba msaada, kwa yule ambae anaweza kumsaidia, sasa utakuta watu wengine wamemjibu kwa KUMKEJELI na kumuona mjinga muomba msaada..

Sasa kama mtu hawezi kutoa msaada, kwanini asikae kimya tu, kwanini aje na comments za kijinga??
 
Unajua mkuu unapo address tatzo lako ndivyo watu wanavyolichukulia ukubwa tatzo lako, Imagine mtu ameweka picha then anaaandika nmetapeliwa gar hewa kamalza unataka watu wa JF waote ilikuaje kipind anatapeliwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom