Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,511
- 6,892
Kihaya eti eehSidhani sababu kuna nyingine alikuwa anaongea hadi kikabila
Kihaya eti eehSidhani sababu kuna nyingine alikuwa anaongea hadi kikabila
Nitaandika yote hayo kwa kirefu ni story ndefu kidogoWw ungeeleza hapa imekuwakuwaje,
Sasa unasema tu et umetapeliwa ki vp sasa??
Anataka Mshana Jr amsaidie mambo ya ndumba!Sasa mkuu unamkomalia Mshana Jr ili akusadie nini, badala ukimbilie polisi uko bize JF.... na hao jamaa wamekuhurumia sana wangekufanya na vingine.
Kumbe msiba wakujitakia huoNiliwahisi dk za mwisho wakati nimeishaweka pesa ndo maana nilichukua picha kwa sababu walianza kuomba omba pesa nje ya makubaliano
Yaani sura tu zinajieleza na yeye hata hakugundua. Wewe huyo aliyavaa miwani me kama ni afande ni moja kwa moja ndani.Jamaa anakwama sanaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13]
Niliwahisi dk za mwisho wakati nimeishaweka pesa ndo maana nilichukua picha kwa sababu walianza kuomba omba pesa nje ya makubaliano
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...!Sasa wewe badala ya kwenda police unakuja kushitaki humu kwa Melo
Na hiyo gari hewa ndio gari gani umeuziwa ikiwa kwenye puto au vipi