Naombeni msaada nimetapeliwa

Naombeni msaada nimetapeliwa

Wanajf kwa kifupi nimetapeliwa na hawa watu hapo chini, wameniuzia gari hewa kwa yeyote anaewafahamu wahusika hapo chini naomba anifahamishe.

Pole sana member kwa yaliyokukuta juu ya hao wezi.Vila shaka hao wamekupata. Huko kupatana na ukakubaliana nao kisha wakakupeleka show room ulipokosea wewe hukutaka kuingia ndani ya Ofisi ya wauza magari na malipo ulikwenda kufanyia benki.Pole sana hao jamaa wanapatikana Kinondoni Stereo mtaa wa kisutu pia wanapatikana Nyuma ya Jengo la Mwanamboka Plaza kuna Bar pale. na dili zao ndiyo hizo.Nenda kafungue kesi kwanza upate. Msaada wa polisi baada ya uchunguzi wako kwa kushirikiana na Polish.
 
Haya ndo maneno sasa
 
Pole kwa kutapeliwa, ila the way ulivyokimbia kuleta hizo picha hata kama ni mimi nakutapeli tu, ushaaharibu uchunguzi wa polisi,
Umekimbia hapa km vile ni Osterbey bana.

Then kwenye utapeli
Tamaa imekuponza, umeambiwa gari bei chee, wakakupeleka yard wakakuonesha gari wakakuambia usiongee na mtu yoyote pale, wewe kagua gari tu.
Malipo mtaenda kumalizana na jamaa, tena wanakuambia mwenye gari yupo bandarini 😂😂😂

Huu utapeli umewatokea rakifi zangu zaidi ya watatu na kesi zipo polisi

Alafu hizo picha zinaonekana kama kinondoni Papii Chuloo... 😂😂😂

Ni vituko, kbs,
 
Msimcheke hapa tu najaribu kumpa tag
Kwa kifupi alipelekwa kwenye yard iliyoko Morocco.... Huko ndiko alipopigwa
Ila Mpaka dakika hii jamaa a napambana na polisi na mwenye yard
Jamaa ashapewa a, b, c za kufata ili awapate Hao matapeli
Ningekuwa dar ningeinunua kesi hiyo Yaani mpaka kesho saa nane kingeshaeleweka

Ova
Huwa najiuliza wanapigwaje kwenye yard,mana nimeshanunua gari mara 2 hapo morroco kwa wapakistan ...mimi utaratibu unanipa acc ya jina ya yard yako nabank pesa nakuletea bank slip unanipa gari yangu.biashara ya cash kwangu hakuna
 
Pole sana member kwa yaliyokukuta juu ya hao wezi.Vila shaka hao wamekupata. Huko kupatana na ukakubaliana nao kisha wakakupeleka show room ulipokosea wewe hukutaka kuingia ndani ya Ofisi ya wauza magari na malipo ulikwenda kufanyia benki.Pole sana hao jamaa wanapatikana Kinondoni Stereo mtaa wa kisutu pia wanapatikana Nyuma ya Jengo la Mwanamboka Plaza kuna Bar pale. na dili zao ndiyo hizo.Nenda kafungue kesi kwanza upate. Msaada wa polisi baada ya uchunguzi wako kwa kushirikiana na Polish.
Pale nyuma ya mwanamboka kuna kijiwe cha madalali hawaeleweki nlienda hapo kukagua rav4,dalali anaongea mpka unastuka hapa kuna biashura sio biashara
 
Huwa najiuliza wanapigwaje kwenye yard,mana nimeshanunua gari mara 2 hapo morroco kwa wapakistan ...mimi utaratibu unanipa acc ya jina ya yard yako nabank pesa nakuletea bank slip unanipa gari yangu.biashara ya cash kwangu hakuna
Inapaswa gari iwe kwenye bank compound wakati unafanya transfer, ndani ya gari awepo mpambe wako.
Unalipia kitu unachokiona, (sio ulichokiona)
 
Pale nyuma ya mwanamboka kuna kijiwe cha madalali hawaeleweki nlienda hapo kukagua rav4,dalali anaongea mpka unastuka hapa kuna biashura sio biashara
Pale panaitwa full stop kun bar pale madalali wengi wapigaji..... Kuna mshikaji mmja alitaka vanguard jamaa walienda kumpanga yard wakampanga jamaa kama mmiliki
Jamaa Ile anataka kudeposit Hela bank alipewa ac..... Huyo jamaa anayetaka kununua Gari alitokea rukwa Ile tu Nmpigia Sim asubirie tufike tuone mazingira ya biashara na Jina la ac anayo deposit je ni ya yard..... Kufika pale bahati nzr yule mmiliki wa yard pale mnyanya namjua tukamrukia hewani kutup ac yke Jina tofauti na akasema hajui khsu biashara hyo
Ahh Mara akaja jamaa mmja alijifanya mwenye yard tukamtmbua anaitwa kabila
Jamaa alipona upepo syo akasepaaa

Ova
 
Pale nyuma ya mwanamboka kuna kijiwe cha madalali hawaeleweki nlienda hapo kukagua rav4,dalali anaongea mpka unastuka hapa kuna biashura sio biashara
Pale kna team ya kna s.we hatari

Ova
 
Back
Top Bottom