mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 93,801
- 132,020
Bwana bunazi Hawa jamaa kutokana na maelezo yake aliwapata kupatana. ComHumu JF tunawatahadharisha kila mara, na sio watoto wa LY ni watu wazima lkn utapeli acha watu wafunguke huwezi wazuia
Wengine ndio maana tunaangalia km wewe na tupite tu tusiwadhrau wenzetu
Juzijuzi nimeambulia matusi humuhumu JF tumewakumbusha wizi wa magari uliotokea kule Mtoni kwa Aziz Ally jamaa akalipata gari lililotapeliwa na Askari wenyewe kituo cha K
Nikaeleza nilivyotaka kuibiwa Kunduchi kwa Warioba
Bado mtu anaweka Gari na zake na simu yake UNASHINDWAJE kusearch wakati ukiingia TRA, Bima, Traffic utaiona hiyo Gari cha mwisho ni namba zake za simu kwani ndio registered na NIDA sasa vinapishana kwa hiyo huyo lazima atakuwa DALALI, lkn bado watu hawaelewi
Na madalali waliomo humu JF wa Magari wanakutishia eti kuna mama alichomew nyumba kwa kuharibu biashara hakutoa ulaji.
Ndio maana katokea mrangi na baadhi ya member wameshawatambua na Mleta Mada angeendelea kutupa Feedback Matapeli wangekimbia kwani kuingia JF ni bure
Huko kwenye yard alipopelekwa walimpanga, kingine bwana bunazi jiji hili yeye alikuwa mgeni
Ila kwa speed anayoenda atawadaka
Mzee baba Ukwaju siku zote mjinga wakati wa kwenda tu wakati wa kurudi ushajua njia
Ova
