Naombeni msaada nimetapeliwa

Naombeni msaada nimetapeliwa

Halafu unaweza kukuta pesa yenyewe kaidunduliza miezi kinao ili nae ajidai na motokaa then wajanja wanakuja kuichukua kiulaini!
Tuwe serious kidogo, jamaa atakuwa amechanganyikiwa jamani, decemba hii utapeliwe acheni utani kwenye mambo magumu kama hayo. akitulia atasema yote yaliyomsibu.
 
Wakati mwingine unawaza hii Jamii Forums ina Watoto tupu wa LY waliomaliza juzi auuu...maana uwezi tegemea msaada wa mawazo kama mko hv
Mtu ametapeliwa mnaanza kumcheka na kumdhiaki kama hujawai tapeliwa basi uwezi jua Mtu anatapeliwa vipi?
Mjifunze kukaa kimya kama huna lenye msaada kwa mfikwa
La hasha! Basi labda ili jamvi ni sehemu ya mizaha na inda
 
Akitaja angalau mji au jiji alikotapeliwa anaweza kupata msaada wa maana.
 
huyo mwenye miwani ukimcheki tuu usoni ana kesi ya kujibu..

Kitambi cha wizi,
anaangalia kiwizi,
kakaa kiwizi wizi,
hata miwani amevaa kihuni......

Hicho kitambi ni frexible.....
Akiwa kwenye meza ya makubaliano anakivimbishaa(huoni hata alivyokaa?)

Ukimshtua kina nyweaa

Ungemshtua tuu hapo hata kwa kupiga miguu chiniiii......
Ungeachiwa viti tuu hapo.......
Hata majii haachi.......

Usikute hata hayo maji kayatapeliii
Ddaaah
 
Wanajf kwa kifupi nimetapeliwa na hawa watu hapo chini, wameniuzia gari hewa kwa yeyote anaewafahamu wahusika hapo chini naomba anifahamishe.

Kwani mkuu wewe ni mcha MUNGU au mpagani? Kama.wewe ni mcha MUNGU basi mkabidhi yote atafanya kwa ajili yako, ila kama wewe ni mpagani kwani hujawahi kumsikia babu wa Radi kule Sumbawanga? Nenda ukawanyooshe, Mshana Jr hapa atakutapeli tu, ha ha haaaa!!
 
Niliwahisi dk za mwisho wakati nimeishaweka pesa ndo maana nilichukua picha kwa sababu walianza kuomba omba pesa nje ya makubaliano


Watakuwa wamegawana na polisi kuzima so
 
Jf imekuwa ovyoooo sana sasa hivi dhihaka nyingi utani mwingi wanaosimamia nao ovyo msg za kipuuzi wanashindwa kublock maana sasa hivi wamechinga na wanafunzi wamejaa humu hakuna cha maana jf imeishaharibika sio kama zamani mtu akiuliza swali anasaidiwa wanampa njia
 
Fanya mpango kazuie zile pesa ulizoweka kwenye acc.

Pia kuwapata au jaribio la kuwapata tumia mbinu uliyotumia kuanza nao mapatano kwa connection zote.

Pole though uzi haujaji dadavua!!
Huu ni ushauri mwanana. Kimbia bank fasta kawaambie ili hiyo account waangalie transaction zake , then kimbilia pia polisi. Ukianzia polisi unaweza kuchelewa japo kuna posibility ya polisi kupiga simu bank. Ila pia tumeshachelewa sana kushauri. Ila pole mkuu
 
Back
Top Bottom