Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

Oya mm naitaji tupige kaz kama vip wew njoo bongo tujadiliane namna bora ya kufanya kazi na promotion ya kaz yt
 
Kwaiyo vitu vilikua vinakaa mda mrefu bila kupata wateja
Upotevu kukaa muda mrefu undanganyifu wa bei,upangaji wa bei niambulia story tu siwezi kurudia tena kufanya biashara kwa nfumo huu.

Baada ya kukaa nakutuliq akili nimegundua digital Markiting ni nfumo mzuri sana kwenye biashara kama hizi

Nimugundua mambo yafutayo
1.Unauza biashara kabla ya ku derivery, unakwepa gharama nyingi sana usumbufu wewe kazi yako ni ku Derivery kwa wateja wako mzigo ukifika.
2.Faida nyingine kwa upande wa wateja wangu kama nitatumia nfumo huu ukakubalika watapata bidhaa kwa bei nafuu sana kulingana wingi wa manunuzi kwa mkupuo moja.
3.Huu nfumo unaongeza ajira za mtandaoni nfano naweza kuajiri watu bila kukutanao wakafanya kazi na kulipwa kwanjia za online.

Kunafaida nyingi sana
 
Tuanze na mim kwenye baiskeli
 
kwa experience niliyopata mda mchache kwenye hii field napenda nishauri mambo yafiatayo.

1. ufanye research ya vitu ambavyo ni fast moving kwa huku tz na bei zake. hapa ni lazima ukileta mzigo huku mtu aone kweli kuna unafuu wa bei na sio kuplace high price kwasababu unavitu quality.

2. ni lazima uwe na mtaji wa kutosha wewe binafsi. hii itasaidia kutuma mzigo kwa wakati. i.e wateja wachache watakaoagiza mizigo yao haitakaa mda mrefu kusubiri order za watu wengine. watanzania wengi wanapenda uharaka hasa kwenye hii tasnia ya biashara za nje.

3. muhimu kuwa na chombo cha uhakika cha kupromote bidhaa zako ama biashara yako ya kuagizia watu vitu kutoka japan. hapa ndo kwenye uchawi wa biashara ukiweza hii sehemu, wateja watamiminika.

4. agent mzuri wa kuclear contena yako bandalini, kuna mda vitu ukifanya mwenyewe kuna utashi na kujuana huwa vinapungua, tafuta agent ambaye hatokuwa na charges kubwa na mwenye uzoefu.

5. dumu katika imani, kuna muda Mungu anaamua tu kukuangusha hata utumie mbinu gani kujiinua, ni kutwanga maji kwenye kinu.
 
Namba 5. Ya kudumu kwenye imani sijakuelewa kwenye imani hipi?
 
Nipitia bandiko zima mwanzo mwisho ushauri mwingi ni feki usiufate akili ya kuambiwa changanya na yako.

Tatizo sio business plan wala website tatizo ni muda wabango kunasiku wataacha ujinga wanapenda sana shobo na ujinga ujinga mwingi nfano watu kama Doto Magari wanakitu gani cha maana,wewe umesajili kampuni yako unalipa kodi Japan na Tanzania lakini mtu anakuja hapa anakuambia hii website mbona haifanani ya mtu fulani umejisajili ukaingia ukaona ikoje.

Nimejisajili kwajina la jasusi kuna features zingi mzuri pia ni dynamic anaweza kuimonita kulingana wa wakati tatizo watu wabonge sio wabunifu wanapenda mambo ya kuigana,mkuu hii plan ungekua umechagua nchi tofauti na bongo ungekua tajiri mkubwa sana.

Nfano kuna platform moja ya SouthAfrica pale ujiongeza i see kuna mahitaji makubwa sana unaweza kuwaunganisha pesa wanatuma kwenye account yako wewe unasafirisha maana hapo SouthAfrica wabongo wengi fix sana. Congratulations bro wabongo bado tumeucha usingizi.
 
Back
Top Bottom