- Thread starter
- #41
Nashkuru sana sana kunifungua kwenye hilo.Naomba sana tuwasiliane tafadhali kwa. namba hii 0655 171515.tafadhali.najua wengi watakuambia kuwa hyo course haina market/ajira lakini usilolijua hicho chuo 70% wanakuwa wako selected na wahusika wa mambo fulani ya nchi na mpaka anachaguliwa kuja hapo ujue kuna pendekezo kutoka kwa mwalimu/walimu ambao wako taasisi fulani kuwa anafaa kuja kusoma hyo course hapo chuoni.
So endapo yale waliyokuwa wanayataka akaendelea nayo na kuyakuza utashangaa tu field anapelekwa sehemu zile za inner cycle au akimaliza chuo anapelekwa nje au katika ofisi fulani na pia tarajieni kubadilika kuanzia mavazi/tabia/mpka mfumo mzima wa maisha.
Talking with experience