Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 15,993
- 50,757
hahah ondoa shaka mkuuMie japo ukoko.....na kichwa cha samaki wa maji chumvi kikavu....
hahah ondoa shaka mkuuMie japo ukoko.....na kichwa cha samaki wa maji chumvi kikavu....
😁😁😁 namba tano umetishaMaswali kwa mgeni
1. Huko kwenu kuna changamoto ya maji, umeme, matibabu,barabara?
2. Vipi utekaji upo au unauskia tu kwenye vyombo vya habari?
3. Serikali ya sasa unaionaje ila kama huhusiki na siasa ruka hili swali ujibu ni kwa nini umesema kuwa utafanya kilichokuleta?
4. Una matusi kilo ngapi ulokuja nayo? Maana humu lazima utukanane na utukanwe ndo mambo yasonge.
5. Makebo unayo kiasi au ni namba 1 iliyochangamka i mean upo d au p
Jibu hayo kwanza uende lunch urudi tuendele coz sio siri kuna kafeelings flani unapo fungua uzi na watu wanacoment unaweza hata ukasahau kula.
Mwanamke asiye na makebo ni firauni.
Aisee.Hello habarini mimi ni mgeni kwenye hii forum japo nilikua nikiiona siku nyingi hivyo basi nimeamua kuji register Rasmi ili niwe na uwezo wa ku reply kwenye mada zenu naombeni mnipokee kwa ukarimu
Asante sana babu, nimekaribiaKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
AsanteKaribuu sana
NashukuruTumepokelewa mkuu
Karibu sana kilingeni, jisikie upo nyumbani.Hello habarini mimi ni mgeni kwenye hii forum japo nilikua nikiiona siku nyingi hivyo basi nimeamua kuji register Rasmi ili niwe na uwezo wa ku reply kwenye mada zenu naombeni mnipokee kwa ukarimu