sasa siku zote hukulitambia hilo mpaka ukaja kunimiminia matusi ile siku mods wakafuta comment lako? Au kichaa cha mimba kilikupanda? Haya niwe sjui ndio unaita kiboga, niwe mwanamme mwanamke sijuis hoga you name it! Kuna kitu kinabanduka ukeni kwako? Kwanini maisha ya mtu usiyemjua yakuumize kiasi hiki? Unanijua? Tuna undugu au kuna kitu nimekuondosha kwenye maisha yako? Unanihukumu kw avitu kama unanijua au kama tunachangia bwana humu jf! Mimi ni kichaa tena usinitibue kabisa sioendagi kujiachaniza hivi ila huku unakoelekea sistaaa hutoipenda! Endelea kabisa kunidhalilisha kila forum tena weka subscriptions pote!