win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,754
- 29,644
utani gani ule kijana? niliona ila najitahidi kukuepuka🤣Nilikua natania tuu,
juzi nikakuita ukaniacha kacha kabisaa!
utani gani ule kijana? niliona ila najitahidi kukuepuka🤣Nilikua natania tuu,
juzi nikakuita ukaniacha kacha kabisaa!
pamban mwenyeweNipe mwongozo.
Muulize Seran Mm napenda sana matani, ila nikitaniwa naumia😏utani gani ule kijana? niliona ila najitahidi kukuepuka🤣
Dah my friend with benefits! Usinifanye hivyoopamban mwenyewe
hebu usinitongoze nyandaDah my friend with benefits! Usinifanye hivyoo
Mkuu umetupa jiwe gizani😂Mwanaume gani anachamba?
Mimi najua wanaochamba ni wanawake kumbe hata wanaume wapo.
mkuki kwa nguruwe au vipi mwanetuMuulize Seran Mm napenda sana matani, ila nikitaniwa naumia😏
Mmh nimetongoza!! Hapo mbona naona kama tu naongea tuu, nikitongoza Je?hebu usinitongoze nyanda
Mniwie radhi niwatanie nyie tuumkuki kwa nguruwe au vipi mwanetu
kwaheri nipo naangalia movie nimefika kipengele cha kuromance hebu nichukue notes kwanzaMmh nimetongoza!! Hapo mbona naona kama tu naongea tuu, nikitongoza Je?
mimi nimeanza mazoezi ila huwa naishia njiani! wengine mnawezaje?uwih😅😅 huwezi amini saivi nimepungua tena, yani kila nikianza kunenepa kinatokea kikwazo kinanipukutisha hatari😪
mazoezi ya kupungua? aumimi nimeanza mazoezi ila huwa naishia njiani! wengine mnawezaje?
kutoka kidogo kuchochea kuni mshaanza kuombana viharage!kwahiyo nataka kuomba nini ujue wew ni fwala🤨
Chukua kabisa leo night utaziapplykwaheri nipo naangalia movie nimefika kipengele cha kuromance hebu nichukue notes kwanza
Mwanike nshenjii wingelaga, hatari hiikutoka kidogo kuchochea kuni mshaanza kuombana viharage!
Ndiomazoezi ya kupungua? au
ila wewe!Mwanike nshenjii wingelaga, hatari hii
Kabisa nimekupata amigos✌️Yalikua matani tu 😂 Ebu achana na hii issue rafiki. Kuna vitu Vingine sio vya kusukuma
Leo nipo off😂Kwani na wewe hunaga kazi? Kwanini muda wote upo jf😅