Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,567
- 83,055
Au tumpe na beer?Mwongezee na Chapati Tatu
Au tumpe na beer?Mwongezee na Chapati Tatu
Kama Ana kunywa pombe kali SawaAu tumpe na beer?
Mbona kama multiple ID?Hello habarini mimi ni mgeni kwenye hii forum japo nilikua nikiiona siku nyingi hivyo basi nimeamua kuji register Rasmi ili niwe na uwezo wa ku reply kwenye mada zenu naombeni mnipokee kwa ukarimu
MONEY IS NOT EVERYTHINGPambano ni Kali sana acha me niwe wa kwanza kumpa hela 😂
Hatozima kweli huyu🤣 Castle_Lite itamfaa hana koromeo la rum!Kama Ana kunywa pombe kali Sawa
Pumpkin girl kwa niaba ya wana Gen -z yua welikamu. Ukipat changamoto yoyot ya hela usisite kunitafut🙂Hello habarini mimi ni mgeni kwenye hii forum japo nilikua nikiiona siku nyingi hivyo basi nimeamua kuji register Rasmi ili niwe na uwezo wa ku reply kwenye mada zenu naombeni mnipokee kwa ukarimu
AchauongoMimi nitampa kitumbua na chai ya rangi kwa kumkaribisha vizuri!
Hakunaga kitu kama sijui nilikuwa nasomaga offline miaka 6 nikaona nijiunge🚮Mbona kama multiple ID?
Mgeni siku ya kwanza mpeni chakula ale…
Siku ya pili mpe kazi ndogondogo za nyumbani 😄Mgeni siku ya kwanza mpeni chakula ale…
Siku ya tatu mpeni jembe shambaniii Shambaletu linahitaji kulimwa🤗Siku ya pili mpe kazi ndogondogo za nyumbani 😄
Sitaki kuamini kama unanifanyia hivi
Wiki ikiisha msimange 🤣🤣🤣Siku ya tatu mpeni jembe shambaniii Shambaletu linahitaji kulimwa🤗
Asante mkuu🙏Karibu sana.