Naomba ukaribisho

Naomba ukaribisho

Baada ya serasin kushtukiwa ni mbaba sasa mmetujia na maboga.

NIwe mkweli napenda hela.Kama hii biashara inalipa nipeni code na mimi nijiingize.😃😃💰

So tujiandae kuona mfululizo wa mibaba ikiandika nyuzi za kumlilia da kiboga ?😃

Hivi bado nauli zinatumwa huku?
Nasemaje,you people have my full blessings.Wapigeni.Nauli ya mwanaume mjinga ni hela yenu ya halali kisheria.Chukueni hela hizo.Wakishtukia boga lina mayai mawili tunakuja na sweet potato.Tunawapiga tena😃💰

Anywayz, pumpkin gal welcome to ze weld😃
 
Baada ya serasin kushtukiwa ni mbaba sasa mmetujia na maboga.

NIwe mkweli napenda hela.Kama hii biashara inalipa nipeni code na mimi nijiingize.😃😃💰

So tujiandae kuona mfululizo wa mibaba ikiandika nyuzi za kumlilia da kiboga ?😃

Hivi bado nauli zinatumwa huku?
Nasemaje,you people have my full blessings.Wapigeni.Nauli ya mwanaume mjinga ni yenu kisheria.Chukueni hela hizo.Wakishtukia boga lina mayai mawili tunakuja na sweet potato.Tunawapiga tena😃💰

Anywaz, pumpkin gal welcome to ze weld😃
Daah kumbe ni biashara tena maarufu tuu
Sikujua hilo prida

Nakuomba tu prida usifanye hayo you're way more wiser than that. Ila sweet potato will do
 
Baada ya serasin kushtukiwa ni mbaba sasa mmetujia na maboga.

NIwe mkweli napenda hela.Kama hii biashara inalipa nipeni code na mimi nijiingize.😃😃💰

So tujiandae kuona mfululizo wa mibaba ikiandika nyuzi za kumlilia da kiboga ?😃

Hivi bado nauli zinatumwa huku?
Nasemaje,you people have my full blessings.Wapigeni.Nauli ya mwanaume mjinga ni yenu kisheria.Chukueni hela hizo.Wakishtukia boga lina mayai mawili tunakuja na sweet potato.Tunawapiga tena😃💰

Anywaz, pumpkin gal welcome to ze weld😃
Thanks much ila Sijaelewa hayo maneno ya juu Una maanisha nini prida
 
Ukito lunch ujibu haya tumalize.
6. Vipi una gari aina gani mafundi wa humu wapate kazi ukihitaji.
7. Ukikasirika unafika °c ngapi
8. Mtu akikuudhi humu utampa tusi gani au utamfanyaje?
9,una mchumba au mme kwa sasa ama ni single mothers uloachiwa shimo kubwa moyoni (ila sio moyon tunajua mishimo inapoachwa)
10. Tutaendeaje
 
6. Sina gari
7. Mpka nikasirike ndo nitajua
8. Refer to no 7
9. Ndio nina mchumba
10. Sijaelewa
 
1. Sio sana ila changamoto zipo
2. Nausikia ila sijawahi kushuhudia kwa macho yangu
3.sielewi sana kuhusu siasa,, kilicho nileta Humu nimekuja kujifunza na zaidi niweze ku reply kwenye mada maana as a guest hauna uwezo wa kureply zaidi ya kusoma pekeake
4. Matusi yapo japo siwezi kuyapa kipaumbele, nitakupokea namna ulivyo kuja
5.sijaelewa Makebo ni manini
ok no.5 uliza mtu yeyote atakwambia ucjali
 
Back
Top Bottom