Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,627
- 83,251
Hapana ntampatia na mzee wa kaya! Lazima atakuwa na uhitaji zaidi yangu😁Wiki ikiisha msimange 🤣🤣🤣
Hapana ntampatia na mzee wa kaya! Lazima atakuwa na uhitaji zaidi yangu😁Wiki ikiisha msimange 🤣🤣🤣
Nyumbani ni wapiok,
karibu jukwaani na hata nyumbani ndugu mdau ikikupendeza 🐒
Huna wivu kumbe 😥Hapana ntampatia na mzee wa kaya! Pazima atakuwa na uhitaji zaidi yangu😁
Ninao sa ntafanyaje mgeni asinione mchoyo😒Huna wivu kumbe 😥
Haujasoma maelezo hapo juu? Ni mara yangu ya kwanza kuwa registeredZamani ulikuwa unatumia Id ipi?
Jinsia yako rasmi ni ipi? ke au me
Nitakuvunja meno yote ya sebuleniNinao sa ntafanyaje mgeni asinione mchoyo😒
Mimi sio mwanafunziOrganic Chemistry haikusumbui tena? Kuna paper mkifungua shule
Kwani wewe hutaki kumuonja mgeni?Nitakuvunja meno yote ya sebuleni
Kwani huku kila mtu anae mtu wake 🤔Huyu ni wangu sasa, nimemuwahi wakuu
SawaRoho inaniambia wewe ni mwenyejiView attachment 3614541
Nashukuru sana icebreakerKaribu sana na mimi nimekua mtu wa kwanza kukupa Like kwenye uzi wako.
Kwasababu gani 😭Aangalie nisije kumpiga Ban ya maisha oho! 😁
Mapenzi matamu kama ukipata red wako, ukinichoka utaniona Red kObOkO aisweaa!