Naomba Nijitambulishe Kwenu - Big Lady

Naomba Nijitambulishe Kwenu - Big Lady

Jamaa much know sana yule....nitauliza wapwa maana hawashindwi kitu

We kumbuka whenever theres credit the'r must b a debit......akikusumbua unanibipu nakupa data zaidi za impairment,provision na mambo ya ghost a/c
 
We kumbuka whenever theres credit the'r must b a debit......akikusumbua unanibipu nakupa data zaidi za impairment,provision na mambo ya ghost a/c

Can you shemeji put in a simplified language sisi wengine tumesomea katani na tarafani
 
Karibu big lady
mie ndo Mod au kiranja hapa, so matatizo yote tuwasiliane kwa PM...afu kwa ushauri nasaa pia ni PM tu usiwe na wasi. Karibu sana dada.
 
Can you shemeji put in a simplified language sisi wengine tumesomea katani na tarafani

Hii kazi ataifanya bibie akirudi kutoka darajani alkoenda kununua zawadi kama unavyojua yeye ni mtaluuma zaidi yangu,
 
Big Lady

Mimi ninapost kibao halafu ni premium member, matatizo madogo madogo naongea na MOD tunamaliza. Nitakupunguzia walau posts uwe seniour member
 
Big Lady

Mimi ninapost kibao halafu ni premium member, matatizo madogo madogo naongea na MOD tunamaliza. Nitakupunguzia walau posts uwe seniour member

Mpwa angalia msuli usije ukadondoka.
 
nimeamua nije niwachungulie wapwa!.
BL niko nae huku mwendo wa PM, si ameshajua?, so mwendo mdundo tuu!.
c u ol.
 
Big lady hata usiogope kabisaaaaaaaaa.Hwa wote ni wapwa family ndivyo walivyo.Tushaanza kampeni ya kuwaombea mimi na Bht na Lilyflowe.Usiwe na shaka kabisa we karibu kwa moyo mmoja jamvini.
PM ni kifupi cha PRIVATE MESSAGE.Wakati mwingi kama unataka kuongea na mtu private unatumia hiyo,nakuPM sasa hi ili ujue inavokuwa.

ZD pepo huyu naona kawaita malusifa wooooooote wakitegemea kutuzidi nguvu...

mwone XPIN, NGULI, PORJIE yaani wanajieleza ka paka vile, heee!! hajapigiwa mwacheza haya mkidundiwa si kasheshe

mwambie Lily leo ni mkesha asikose
 
Karibu new comer/joiner

Naitwa Nguli
Mtoto wa pili,
Kwa mama wawili,
Sipendi mbilimbi, na kujirusha kwenye madibwi.

Nguli you are asking for trouble!!!

and people what did you do to Burn yesterday?? He is no wea to be found!!! OMG i hope he is ok!!!
 
ZD pepo huyu naona kawaita malusifa wooooooote wakitegemea kutuzidi nguvu...

mwone XPIN, NGULI, PORJIE yaani wanajieleza ka paka vile, heee!! hajapigiwa mwacheza haya mkidundiwa si kasheshe

mwambie Lily leo ni mkesha asikose

Hahaha! Treni ishafuka Pugu bht anakata tiketi stesheni. Too late mama!
 
ZD pepo huyu naona kawaita malusifa wooooooote wakitegemea kutuzidi nguvu...

mwone XPIN, NGULI, PORJIE yaani wanajieleza ka paka vile, heee!! hajapigiwa mwacheza haya mkidundiwa si kasheshe

mwambie Lily leo ni mkesha asikose
Mkesha tena niukose, maana upako wote uko saa tisa usiku, mpaka watafunguka tu.
 
Mbona Semenya simwoni?? Big lady tafadhari mwone Semenya kwa mipango zaidi.
 
Nguli you are asking for trouble!!!

and people what did you do to Burn yesterday?? He is no wea to be found!!! OMG i hope he is ok!!!

Hahaha! Burn is burnt! Usifanye mchezo na valeur ya moto!
 
Hahaha! Mchunge sana huyo bht. Alitaka kutuvunjia ndoa yetu muda si mrefu. Ningekuwa kama mpwa fidel, saizi angekuwa msaidizi wako!

weee si ulikuwa ukininahiiii weweee!!! mi nimeokoa ndoa yako kwanza. huna shukurani weye!!!

ntalianzisha....watch out Xpin

naona unazojiexpress kwa Big Lady, mwambie akae chonjo na ZD!!! atapigwa neno huyo!!
 
Back
Top Bottom