Naomba Nijitambulishe Kwenu - Big Lady

Naomba Nijitambulishe Kwenu - Big Lady

si ulitaka mtu kama ZD wa Xpin, you have to be grateful maana mimi ni zaidi ya dearest sisy ZD!!!

We! Subutuuu! Njoo ona makovu mgongoni. Huwa ananiparua kama nyau. Kama si limbwata sijui ingekuwaje?
 
LOL! Kwa hiyo invizibo ndiye aliyekunanihii? Hahaha! Basi atakuwa hana tofauti na mfalme mswati! We utakuwa wa 26 kama ntakuwa sijasahau. Umri nao bana, kumbukumbu zinayeya sana.

ha ha ha ha ha, he,he,he he he,
icon10.gif
. mkuu umekula senksi nenda ka audit.
 
ha ha ha ha ha, he,he,he he he,
icon10.gif
. mkuu umekula senksi nenda ka audit.

Kama ntakuwa nimekula senksi yako leo ntaenda kupata banta kwa afya yako. Mpwa mgumu sana kumwaga senksi wewe! Hahaha! Naenda kuhakikisha kwanza halafu nami nakugongea ili kudumisha udugu!
 
karibu sana mama, tupo pamoja katika hii jukwaaa letu la kubadilishana mawazo
hope to learn a lot from you. kaka yoko mtui
 
Kama ntakuwa nimekula senksi yako leo ntaenda kupata banta kwa afya yako. Mpwa mgumu sana kumwaga senksi wewe! Hahaha! Naenda kuhakikisha kwanza halafu nami nakugongea ili kudumisha udugu!

Umelamba ya 2.....mimi sio mchungu
 
Mpaka Kesho PM yako itakuwa imejaa, Ili ujue wapo lakini hawavumi..! Wenzio wanaingia kimya kimya humu..!!

BONGE YA MISTEKI BIGLADY....U ASKD FOR TROUBLE OOOOOOOOOOOOOHH

Karibu sana mpendwa huku ndo kwetu, hawa ndo wapwa, ma-B's na zaidi
 
Umelamba ya 2.....mimi sio mchungu

Rudi nyuma kidogo. kuna posti ya tairi ya aannnh yako kuliwa na wow! wow! wow! ya kijeremani. Pale najua utanigongea mbili! Hahaha!
 
Rudi nyuma kidogo. kuna posti ya tairi ya aannnh yako kuliwa na wow! wow! wow! ya kijeremani. Pale najua utanigongea mbili! Hahaha!

na mgongeane mpaka batani istiki sasa.... ma we we mpaka ya kijerumani NGULI!!!!
 
na mgongeane mpaka batani istiki sasa.... ma we we mpaka ya kijerumani NGULI!!!!

Si unaona sasa? wow! wow! wow! ya kijeremani = German shepherd. Ni dog hili mama, linakuta tairi za aannnnh ya mpwa. Hahaha! Got ya!
 
Mpaka sasa kijiwe kikavu ngoja niwahi Ndovu tu naona hakieleweki mgeni mwenyewe kakimbia.
 
Si unaona sasa? wow! wow! wow! ya kijeremani = German shepherd. Ni dog hili mama, linakuta tairi za aannnnh ya mpwa. Hahaha! Got ya!

Keep auditing u gat the second one from this end. damnnnnnnnnn umenichekesha sana.
 
wapwa mpooo?
niko chemba kidogo, MAMBO SHWARI HUKU.
 
Back
Top Bottom