Naomba Nijitambulishe Kwenu - Big Lady

Naomba Nijitambulishe Kwenu - Big Lady

Hahaha! Huwezi jua mipango ya Mungu. Si umeona G_P alivyoingia kwa kasi? Mtu wa kwanza kukukaribisha anaheshimiwa kama mwanamke anavyomheshimu mwanamme aliyembikiri. Hahaha! LOL!

Big lady karibu sana.Na Xpin na wewe nakupongeza pia naona harakati zako zinazaa matunda.Big lady ukiwa na shida yoyote we m-PM tu Xpin atakusaidia sana.
 
LOL! Mipango ya Mungu haina makosa! Kama ambavyo hakukosea kuumba mwanamme na mwanamke na mipango yake hakuikosea vilevile. Hahaha! Nashukuru kwa uelewa wako wa harakaharaka.

Una mafumbo wewe Chrispin.
 
jamani; mbona mko hivi lakini?

Ni kweli? Mimi naanza kuogopa sasa. Basi itabidi niage mapema niondoke.

Aka babu mie siwezi mambo hayo. Kwani hapa si tunajadili mamambo mbalimbali.

Nyie wenyewe mnasema "Where We Dare to talk Openly!"?

Mimi napenda mambo ya kimaendeleo.
acha uwoga bibie!!.
anyway basi kuna njia nyingine tunaita PM.
wacha tutete kwanza mie na wewe kwenye PM, sawa??
 
usiogope, toa basi mikono hapo kifuani nikuone vizuri if posibo nikufotoe!.

Hee Jamani vipi tena George? Hiyo si picha tu? Sasa nitatoaje mikono?

halafu si yangu, ila umbo langu ni kama picha uionayo.
 
Big lady karibu sana.Na Xpin na wewe nakupongeza pia naona harakati zako zinazaa matunda.Big lady ukiwa na shida yoyote we m-PM tu Xpin atakusaidia sana.

Hahaha! Na wewe umekuja kufanya nini tena huku? Kesho ntakupiga limbwata jingine! LOL! Una wivu weye!
 
Karibu Big lady, Mie ni dada yake Xpin, Xpin am watching you steps, si unajua tumetoka mahakamani sasa hivi oho.

Jamani Lily asante Mwaya.

Ila mie hata sijakuelewa mengine uliyoyaandika.
 
acha uwoga bibie!!.
anyway basi kuna njia nyingine tunaita PM.
wacha tutete kwanza mie na wewe kwenye PM, sawa??

Hahaha! Mpwa nimekugongea kwa hilo pande ulilojipigia. Manake umepiga kona afu ukawahi kwenda kufunga mwenyewe!
 
Big lady karibu sana.Na Xpin na wewe nakupongeza pia naona harakati zako zinazaa matunda.Big lady ukiwa na shida yoyote we m-PM tu Xpin atakusaidia sana.

Asante kwa ukaribisho wako.

Kwani huyo Xpin ni nani na ana harakati gani jamani?

Na kum-PM maana yake nini?
 
Naziona jitihada zako za kuvunja ndoa ndio maana nakupongeza.

Hahaha! Ndoa yetu ni imara kama chuma cha pua. Hakuna wa kuivunja. Hapa nilikuwa natafuta mbinu za kupata michango mingi siku ya harusi. Hey Biglady; watch out ZD wangu anapiga za kichinachina. Huruhusiwi kukaa karibu yangu pungufu ya mita tatu kwa usalama wako.
 
Hahaha! Mpwa nimekugongea kwa hilo pande ulilojipigia. Manake umepiga kona afu ukawahi kwenda kufunga mwenyewe!

Jamani mimi mbona hata siwaelewi?

Mmh, hebu nikae kimya Mwaya.
 
Karibu new comer/joiner

Naitwa Nguli
Mtoto wa pili,
Kwa mama wawili,
Sipendi mbilimbi, na kujirusha kwenye madibwi.
 
Hahaha! Ndoa yetu ni imara kama chuma cha pua. Hakuna wa kuivunja. Hapa nilikuwa natafuta mbinu za kupata michango mingi siku ya harusi. Hey Biglady; watch out ZD wangu anapiga za kichinachina. Huruhusiwi kukaa karibu yangu pungufu ya mita tatu kwa usalama wako.
ooph,afadhali.Ngoja nikamuangalie binti Matosha nyumbani
 
Back
Top Bottom