Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,536
- 4,532
Kwa nini ni noma? Niambie basi.
si unao mwenyewe kisha kudanganya kwamba yeye ni kiranja hapa? ndo hivyo kauli zake hazinyoki.
Kwa nini ni noma? Niambie basi.
Kaeribu, karibu mgeni! naona wapwa na mabinamu plus mashemeji washakukaribisha vya kutosha, jisikie nyumbani, hasa karibu sana kule chumbani, juklwaa la mahusiano, hou ndo uwanja wa nyumbani kwa wapwa!
welcome big lady as it appears on yr threadWaungwana wote hamjambo?
Nimekuwa nikisoma JF na nimevutiwa saaa na michango yenye kuelemisha.
Mimi ni mdada wa umri wa kati niliyeishia sekondari na kujiendeleza.
Naomba ukaribisho wenu.
Asanteni.
Mboni mchokozi weye?big lady upo wapi?