Naomba Nijitambulishe Kwenu - Big Lady | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Nijitambulishe Kwenu - Big Lady

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Big Lady, Nov 25, 2009.

 1. Big Lady

  Big Lady JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2009
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Waungwana wote hamjambo?

  Nimekuwa nikisoma JF na nimevutiwa saaa na michango yenye kuelemisha.

  Mimi ni mdada wa umri wa kati niliyeishia sekondari na kujiendeleza.

  Naomba ukaribisho wenu.

  Asanteni.
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,033
  Likes Received: 23,968
  Trophy Points: 280
  Karibu sana. Hiyo avatar ni picha yako? Usisahau nimekuwa wa kwanza kukukaribisha.
   
 3. GP

  GP JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mtume mwamediii, yani nilpoona hii avatar nikajua mpwa alishakuja kusalimia, Loh.
  hahahahaaaa, na mie wa kwanza kumpa SENKSI!!.
  karibu sana bibie, mie niko singo bado, yuu noo woraaimiiin?
   
 4. Big Lady

  Big Lady JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2009
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Si ya Kwangu. lakini size ya umbo langu ni kama uonavyo.

  Nashukuru kuwa wa kwanza kunikaribisha. Sitakusahau.

  Kwani kuna issue yoyote mtu akiwa wa kwanza kukukaribisha?

  Mimi mgeni naomba nielemishwe.
   
 5. Big Lady

  Big Lady JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2009
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Asante sana George.

  Kumbe ni Mpwa wako?
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,033
  Likes Received: 23,968
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Huwezi jua mipango ya Mungu. Si umeona G_P alivyoingia kwa kasi? Mtu wa kwanza kukukaribisha anaheshimiwa kama mwanamke anavyomheshimu mwanamme aliyembikiri. Hahaha! LOL!
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  karibu Big Lady...mi ndo babu yenu hapa jamvini wakikuchokoza uje kuwasemelea kwangu
   
 8. GP

  GP JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahahaaa, asante ya mdomo inaongezewa na SENKSI, check kitufe hapo chini!!.
  huyu ni mpwa wangu kabisa, wapo wengine wengi sana!, lakini jisikie kua huru na amani kuanza kukaribishwa na wapwa sisi tusiopenda makuu
   
 9. Big Lady

  Big Lady JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2009
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mmmh makubwa mie Big Lady. Mbona mnaniogopesha jamani!

  Na hiyo mipango ya Mungu ni ipi?
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Chrispin-nina mazungumzo na wewe baadaye
   
 11. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ndiyo issue ipo, nayo ni kwamba, unatakiwa kuvunja naye amri ya 5+1 kila weekend
   
 12. GP

  GP JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  dah mpwa sikuwezi, hishma mbele, BTW nimekugongea!.
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,033
  Likes Received: 23,968
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Kashanisemelea au? LOL!
   
 14. Big Lady

  Big Lady JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2009
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Asante Kigogo;

  Kwani kuna kuchokozana tena jamani?

  Ila kama naogopa vile babu maana wengine wanavyonikaribisha!

  Mmmh, mpaka Big Lady naanza kuogopa mwaya.
   
 15. Big Lady

  Big Lady JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2009
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Asante tena George.
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,033
  Likes Received: 23,968
  Trophy Points: 280
  LOL! Mipango ya Mungu haina makosa! Kama ambavyo hakukosea kuumba mwanamme na mwanamke na mipango yake hakuikosea vilevile. Hahaha! Nashukuru kwa uelewa wako wa harakaharaka.
   
 17. GP

  GP JF-Expert Member

  #17
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  usiogope, toa basi mikono hapo kifuani nikuone vizuri if posibo nikufotoe!.
   
 18. GP

  GP JF-Expert Member

  #18
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  warmly welcome!.
   
 19. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #19
  Nov 25, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Karibu Big lady, Mie ni dada yake Xpin, Xpin am watching you steps, si unajua tumetoka mahakamani sasa hivi oho.
   
 20. Big Lady

  Big Lady JF-Expert Member

  #20
  Nov 25, 2009
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  jamani; mbona mko hivi lakini?

  Ni kweli? Mimi naanza kuogopa sasa. Basi itabidi niage mapema niondoke.

  Aka babu mie siwezi mambo hayo. Kwani hapa si tunajadili mamambo mbalimbali.

  Nyie wenyewe mnasema "Where We Dare to talk Openly!"?

  Mimi napenda mambo ya kimaendeleo.
   
Loading...