Naomba Nijitambulishe Kwenu - Big Lady

Naomba Nijitambulishe Kwenu - Big Lady

Hehehe ulimpelekea Xpin supu ya pweza nn?

haaaaaa we Fidel wee, usiniambie uliiendea ndo unaniarifu kijanja hapa haaa!! we kiboko...

endelea kujiexpress hapo tuone ka utalamba jike
 
haaaaaa we Fidel wee, usiniambie uliiendea ndo unaniarifu kijanja hapa haaa!! we kiboko...

endelea kujiexpress hapo tuone ka utalamba jike

Hehehehe sijaamua nikiamua nawazidi kete wote hao kama nilivyo wazidi kete Nguli na Burn jana umesahau?
 

what???

u thought i was not following you or?? am here na nimekusoma ile mbaya....leo hapatatosha!!!

beter be ready ...CENA THE BLACKIE!!!
 
amua tukuone...maneno mengi ya nini?

Subili Georgie_Porjie anamaliza pembeni akirudi mm kicheko tu hapa.
Namkaribisha lasmi tuktuk nimenunua tyre mpya hata carmel anaenea tu.
 
weee si ulikuwa ukininahiiii weweee!!! mi nimeokoa ndoa yako kwanza. huna shukurani weye!!!

ntalianzisha....watch out Xpin

naona unazojiexpress kwa Big Lady, mwambie akae chonjo na ZD!!! atapigwa neno huyo!!

Kauka basi mchuchu, mbona unakuwa mkali. Mi na wewe tumetoka mbali sasa kuharibiana kutasaidia nini? Hahaha! LOL! Shughuli pevu!
 
what???

u thought i was not following you or?? am here na nimekusoma ile mbaya....leo hapatatosha!!!

beter be ready ...CENA THE BLACKIE!!!

Mpwa nguli njoo nikupe ka limbwata kidogo. Hawa watu bila limbwata ni maugomvi kila siku!
 
Hahaha! Huwezi jua mipango ya Mungu. Si umeona G_P alivyoingia kwa kasi? Mtu wa kwanza kukukaribisha anaheshimiwa kama mwanamke anavyomheshimu mwanamme aliyembikiri. Hahaha! LOL!

haaaaaa am dying!!! bora mimi nilikaribishwa na invisible!!! mweeeee
 
haaaaaa am dying!!! bora mimi nilikaribishwa na invisible!!! mweeeee

LOL! Kwa hiyo invizibo ndiye aliyekunanihii? Hahaha! Basi atakuwa hana tofauti na mfalme mswati! We utakuwa wa 26 kama ntakuwa sijasahau. Umri nao bana, kumbukumbu zinayeya sana.
 
Huyu nakiri sitomweza mkali sana sijui mmachame.

si ulitaka mtu kama ZD wa Xpin, you have to be grateful maana mimi ni zaidi ya dearest sisy ZD!!!
 
Huyu nakiri sitomweza mkali sana sijui mmachame.

Hahaha! Kama ni machame basi ujue kale ka aaaanhhh kako kanakoliwa tairi zake na wu! wu! wouw! kako mashakani! Hahaha!
 
lol! Kwa hiyo invizibo ndiye aliyekunanihii? Hahaha! Basi atakuwa hana tofauti na mfalme mswati! We utakuwa wa 26 kama ntakuwa sijasahau. Umri nao bana, kumbukumbu zinayeya sana.

hahaaaaaaaa lol!!!!!!!
 
Back
Top Bottom