Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Hapana Chrispin, sikai Mwananyamala. Unakaa huko?
Hapana hayo maneno yako hayo. Mara "Makubwa", mara "Mwaya". Yamekaa kitaarab taarab hivi. Si unajua tena mwananyamala na taarab ni kama chanda na pete? Unapenda Taarab weye?