Naomba Nijitambulishe Kwenu - Big Lady

Naomba Nijitambulishe Kwenu - Big Lady

Asante kwa ukaribisho wako.

Kwani huyo Xpin ni nani na ana harakati gani jamani?

Na kum-PM maana yake nini?

I am Chrispin (Xpin). Harakati zangu ni kuwaunganisha watu wenye mapenzi mema.
PM - Private Message. kum-PM ni kumtumua private message. Unaweza kuwasiliana na member mwingine bila wengine kuona mawasiliano yenu isipokuwa mimi tu. Mimi huwa naona PM zote. Beware!

Naamini utapunguza woga sasa na kunikong'olia Senksi hapo chini.
 
Hiyo PM ndo nini jamani?

Big lady hata usiogope kabisaaaaaaaaa.Hwa wote ni wapwa family ndivyo walivyo.Tushaanza kampeni ya kuwaombea mimi na Bht na Lilyflowe.Usiwe na shaka kabisa we karibu kwa moyo mmoja jamvini.
PM ni kifupi cha PRIVATE MESSAGE.Wakati mwingi kama unataka kuongea na mtu private unatumia hiyo,nakuPM sasa hi ili ujue inavokuwa.
 
Haaa haaa

Umenichekesha Mwaya.

Asante nimeelewa sasa PM ni nini.
 
Big lady hata usiogope kabisaaaaaaaaa.Hwa wote ni wapwa family ndivyo walivyo.Tushaanza kampeni ya kuwaombea mimi na Bht na Lilyflowe.Usiwe na shaka kabisa we karibu kwa moyo mmoja jamvini.
PM ni kifupi cha PRIVATE MESSAGE.Wakati mwingi kama unataka kuongea na mtu private unatumia hiyo,nakuPM sasa hi ili ujue inavokuwa.

Asante Mwaya.
 
Hahaha! Mchunge sana huyo bht. Alitaka kutuvunjia ndoa yetu muda si mrefu. Ningekuwa kama mpwa fidel, saizi angekuwa msaidizi wako!
 
Mmmh makubwa mie Big Lady. Mbona mnaniogopesha jamani!

Na hiyo mipango ya Mungu ni ipi?

Big Lady

Usiogope wala nini, nipo mgeni mwenzio. Yes we can.

Nimependa ujio wako, karibu tukaribishane kama wakaribishwa jamvini.

tupo pamoja!

mende dume- nikiwa kazini harufu sio kikwazo, je?
 
Asante
 
Du!

Mbona huyo kama ile Papa Mkulu Mkulu ya Kutoka kule DRC ile Mokili ya Muzambe Mkulu Kabisa.
ndio mwenyewe,
mutu ya pesa mingiii!, baba ya bana nakati ya mbezi!.
 
Back
Top Bottom