lisbon eliado tibeliado
Member
- Jun 7, 2020
- 40
- 10
Habari za saa hii wakuu
Jamani nilikuwa naomba ushauri wa nini cha kufanya, nimechagua programme tano za kusoma bila kutarajia kwenye chuo kimoja ambacho ni MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE na kozi zenyewe ni
1.Clinical medicine
2.medical lab
3.dentristry
4.pharmacy
5.physiotherapy
Lengo lilikuwa ni kuchagua kozi ya clinical medicine tuu kwa vyuo vitano tofauti ila kwa bahati mbaya nimechagua kozi hizo nikijua unaweza kuchagua koz zaidi ya moja kwa chuo kimoja huku nafasi ya kuchagua koz kwenye vyuo vitano ipo pale pale( kama ifanyikavyo under TCU) kumbe huku under NACTE ni tofauti,unaruhusiwa kuchagua koz tano tuu haijalishi kama chuo kimoja au laa
Namimi napenda kozi ya clinical tuu hata sijui nifanyajee maana ikitokea sijachaguliwa hiyo clinical hapo nitakuwa na wakati mgumu sana kimasomo.
Ushauri tafadhali mwenye kufahamu kama kuna njia yoyote ya kufanya hapo ili ni-undone hizo taarifa, nawasilisha tafadhali.