Ni wapi mwanachuo huyu atapata msaada kwa uzembee huu wa Mwalimu?

Status
Not open for further replies.

koboG

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
2,484
4,393
Poleni na majukum wakuu, kama kichwa cha habari kinavo jieleza jana usiku nilipokea cm kutoka kwa mwanafunzi X wa chuo cha afya tabora kijulikanacho kama TABORA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,hiki chuo kipo katika hospital ya rufa ya mkoa wa tabora almaarufu kama kitete hospital wanatoa course moja (dipromal in clinical medicine ).Mwanafunzi huyo alinipigia cm huku akinieleza kwa majonzi makubwa juu ya changamoto iliyo mkumba hapo chuo changamoto yake iko hivi,

Anaanza kwa kueleza Mim ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 niko muhula wa kwanza tulianza kwakufanya Continuous assessment za muhula huo wa kwanza ikiwemo (CAT1) na assignment za masomo yote 5 shida ilianza tulivo maliza kufanya Continuous assessment2(CAT2) shida ilijitokeza baada ya matokeo kutoka kwani ili uwe eligible kufanya mtihan wa mwisho ya end of semister inatakiwa hizo components zako uwe above 50 yan kuanzia assignment mpaka mitihan ila pia usipo kua above basi course work isome kuanzia 20. Ispokua kwa upande wa somo moja lijulikanalo kama Surgical specialties hili somo lina part inayo jitegemea ijulikanayo kama OSCE(Objective Structured Clinical Examination)hii ukipata chini ya 50 inakubd urudia muhulu somo zima,hivo basi baada ya kurudishiwa majib ya mitihan yote kunabadhi ya wanafunzi 5 hilo somo hawakuweza kufaulu ikaamuliwa warud nyumbani na kurejea tena mwaka huu mwezi wa 9 chuo kwa ajili ya kusoma upya hilo somo moja ,kama mjuavyo sikuzi mitihan ya ndani ya end of semister kwangazi ya dipromal hasa upande wa afya hua kunautaratibu wa mwangalizi kutoka nacte kuja kasimamia zoezi zima la miyihan(chief External ) anakua mmoja na jukum lake ni kukagua kama chuo kimefata utaratibu wote wa nacte lakin pia kama wanafunzi wako eligible kufanya mtihan wa mwisho naabada ya hapo hua wanatoa mkeka unao onesha kua wanafunzi hawa wanaweza kufanya mtihan wa mwisho. Baada ya kutoa huo mkeka ambao external ali uthibitisha ikaonekana wanafuzni wa 5 wa mwaka wa 3 hawawez fanya mthini wa mwisho kwakua wameshindwa kufikisha marks 50 kwenye mtihan wao surgical specialities upande wa OCSE na wanafunzi walio baki 85 wakawa eligible kufanya mtihan wa mwisho na kweli wakafanya mtihan bila changamoto yoyoye sasa basi hawa wanafunzi wa 5 mmoja wao alienda takukuru kushataki kua wanafunzi wamejiongeza marks kwenyo soma hilo la OSCE na wakati walivo kuja kugawa mwalim alifanya correction kwa wanafunzi wote ila bahati mbaya yeye hakuweza kufikisha marks50 na kitu kilicho pelekea yeye kuanza kulala mika kua amebaniwa kupewa marks hakubal kuondoka pekeyake chuoni lazima aondoke na watu hivo akapeleka case takukuru akilalamika kua wanafunzi wamejiongezea marks na akaorodhesha majina ya wanafunzi anao dai wamejiongeza marks na mimi nikiwa miongoni mwao walio tajwa, huyo mwanafunzi akawasilisha barua yake takukuru .Na takukuru wakaibeba case bila hata kufatilia kujua huyo mwanafunzi alie andika hayo malala miko ni mtu wa aina ipi? hua ni mtu wa kulalamika kwa kila kitu,na mambo mengine sita yataja ivo basi takukulu wakapeleka hayo malalamiko chuoni na chuo wakawaita wanafunzi walio tajwa ila wanafunzi walio fika ni 3 wengine wa3 hawakuweza kufika kwa sababu mitihn ilikua imeisha na watu walikua makwao ila hao walioenda waliku bado wako mazingira ya chuo walivo fika wakapewa vitisho na kuelezwa kuhusu hiyo case ila walikataa kuhusika kufanya hicho kitu wakakaguliwa mitihan yao bila kuwepo huyo muwakilishi wa takukuru na wakalazimisha kukatwa marks mimi nilikua kwenye kundi ambalo hawakuitikia huo wito sababu nilikua likizo tiyari nikawa niko nje ya mkoa wa tabora na mthian wangu umekaguliwa bila mimi kuwepo na wamekata marks ,sasa basi matokeo yametoka jana na nimeandikiwa Field CA REPERT MODULES na mkumbuke kua msimazim kutoka nacte alithibitisha kua niko eligible kufanya mtihan na nimefanya mtihan vizuri ila walim wameshusha marks yangu kutokana na hayo malalamiko ya huyo mwanafunzi kwenda takukulu.

1:Je takukulu inahusika na maswala ya kitaluma kulingana na hayo maelezo? Na kama hapo haiingii nifanye nini basi

1:Je nifanye nini basi niweze kushinda hii changamoto yangu ?nifate utaratibu upi ili niweze kushinda hii case?

2:Na je chief external akishakagua mitihani na kuipitisha na watu wakafanye end mwalim wa ndan ya chuo anaruhusiwa kwenda kufanya mabadiliko kwenye matokea ya nyuma ya mwanafunzi ?

4:mwalim amekuja kufanya mashahihisho mwenyewe afu case anapewa mwanafunzi

Msaada wenu wakuu ni muhim ili tuweze kumsaidia huyu kijana naomba maoni na ushauri wenu wakuu🙏

Nb:
Hiki chuo kinatoa kozi ya clinical medicine pekeyake ila naambiwa kua Accademic ni mfamasi yani(Bpharm ) nadhan watu wa afya mnaelewa kua siku zote clinical medicine hua wanasimamiwa na MD lakin kwatu wanao soma pharmacy hua wanasimamiwa na watu wenye bachelor's ya Pharmacy ila hapo tabora nitofauti that y matatizo kama haya yanaibuka mala kwa mala hapo chuoni

Hapo uzi ulikua haujaisha ebu rudi juu hapo kuna ufafanuzi mzuri utoe msaada
Kama marks zimepunguzwa kihalali kutokana na marks ambazo ulitakiwa kupata baada ya kusahihishiwa wako sahihi.

Meanz marks ulizo zipata awali,hazikuwa sahihi, ulitoa rushwa upate marks 50+ .

Ndo maana dogo aligundua na akaenda TAKUKURU kutoa taarifa.

TAKUKURU walicho kuja kufanya hapo ni ku confirm je,ni kweli rushwa imeteendeka.

Huyo Externa examiner hakuwa anajua kama Kuna swala la rushwa kwenye kujipata marks. Yeye alicho kuwa ana angalia ni Mwenye marks 50+ Yuko eligible kufanya mtihani. Ambaye ni below 50+ basi ana repeat module.

Wewe shida Yako ni Nini??? Je,mtihani umefanya baada ya kusahihishwa kiusahihi,uko abavo 50? Au ulitoa mtonyo ili uwe above 50 kusudi uwe eligible????
 
Kwa mujib wa mwanafunzi hakutoa pesa bali mwalim ndio aliwafanyie marekebisho wanafunzi wote class ila marks hazikufika kwa baadhi ya wanafunzi baada yakuona kua marks hazijafika ikabd akashtaki takukulu kwaiyo walim walivoona case imekuja chuo ikabd wazikane tiki zao na wanafunzi kupunguziwa marks .....shida nikua inawezekaneje case iende takukulu afu siku ya kupitia hiyo mitihan muwakirish wa takukulu asiwepo? wengine marks zimepunguzwa bila hata kuwepo kusikiliza utetezi wao pia mtu aliefanya ichokitendo cha kwenda takukulu alisema lazima aache amechoganisha wanafunzi basi na takukulu wakamsikiliza sasa basi kwa hari hii huyu mtu anasaidika au asubr tu kurudia module kisa uzembe wa mwalim?
 
Pole sana.
1: Suala kubwa ni kusoma mwongozo/shera za shule/chuo pamoja na mwongozo na sheria za NACTE.

2: Baada ya moja hapo juu, utatambua tatizo lake la msingi linaangukia kwenye kipengele gani kwenye miongozo husika.

3: Baada ya moja hapo juu, utatambua njia iliyotumika kutatua kama ilifuata miongozo husika.

3: Baada ya hapo juu, atafahamu je utaratibu gani autumie kwa pale alipokwama kwa kuzingatia miongozo.

4: Baada ya kutumia miongozo na kukwama au kufaulu atatathmini na kuona nini kitafaa ili kukubali au kutokukubaliana.
 
Exactly, kama alitoa rushwa ili kupata 50+ na dogo aliyeenda kuripoti TAKUKURU na hilo swala likawa confirmed na TAKUKURU wenyewe basi no way out.
 
Pole sana.
1: Suala kubwa ni kusoma mwongozo/shera za shule/chuo pamoja na mwongozo na sheria za NACTE.

2: Baada ya moja hapo juu, utatambua tatizo lake la msingi linaangukia kwenye kipengele gani kwenye miongozo husika.

3: Baada ya moja hapo juu, utatambua njia iliyotumika kutatua kama ilifuata miongozo husika.

3: Baada ya hapo juu, atafahamu je utaratibu gani autumie kwa pale alipokwama kwa kuzingatia miongozo.

4: Baada ya kutumia miongozo na kukwama au kufaulu atatathmini na kuona nini kitafaa ili kukubali au kutokukubaliana.
Ok pamoja sana mkuu
 
Ok,mkuu pamoja na hayo iko hivi kwamujib wa miongonzo inawataka wanafunzi wafanye mtihan wa Osce yani picha zinawekwa kwenye meza kwa mfano picha mtu mwenye cancer ya jicho then mwanafunzi anaitambua afu anajib maswali yanayo fata sasa basi vyuo karbia vyote wamefanya hivo ila hicho chuo walitumia utaratibu ambao wizara hawautaki wa ku display kwa nji ya projecter afu wanafunzi mnakua arobain darasani vuta picha umekaa nyuma utaona? Sasa basi kwa kukiuka huo utaratibu huoni mwanafunzi anapaswa apewe mtihan mwingine ulio kidhi vigezo ?kwasababu Muongonzo haujafatwa ? Maoni yako juu ya hili
 
Je,ulitoa taarifaa Nacte kuhusu kutumia projector?

Maana ulikuwa unajua dhahili chuo chenu kina Keuka utaratibu ulio wekwa na Nacte wenyewe.
 
Kwa mujib wa mwanafunzi hakutoa pesa bali mwalim ndio aliwafanyie marekebisho wanafunzi wote class ila marks hazikufika kwa baadhi ya wanafunzi baada yakuona kua marks hazijafika ikabd akashtaki takukulu kwaiyo walim walivoona case imekuja chuo ikabd wazikane tiki zao na wanafunzi kupunguziwa marks .....shida nikua inawezekaneje case iende takukulu afu siku ya kupitia hiyo mitihan muwakirish wa takukulu asiwepo? wengine marks zimepunguzwa bila hata kuwepo kusikiliza utetezi wao pia mtu aliefanya ichokitendo cha kwenda takukulu alisema lazima aache amechoganisha wanafunzi basi na takukulu wakamsikiliza sasa basi kwa hari hii huyu mtu anasaidika au asubr tu kurudia module kisa uzembe wa mwalim?
Inshu ya mwanafunzi kwenda TAKUKURU ni Kwa sababu ya marks zenu nyie baada ya mwalimu kufanya marekebisho mkawa above 50, Lakini yeye na wenzake wa nne wakawa below 50. Kitendo hicho ndicho kilicho mfanya yeye akimbilie TAKUKURU Kwa imani yake ya kuwa nyie mlio pata above 50 baada ya marekebisho maybe mlitoa rushwa, Ndo maana hakukubali kwanini yeye na wenzake wamefanyiwa marekebisho lakini bado below na nyi e mmefanyiwa marekesho mko above. Akawaza ni rushwa ndiyo ime take place.
 
Hapana hakutoa taarifa baada ya mambo kwenda vibaya ndio anaona ni bora aende nacte akatoe hiyo hoja ili aweze kupewa mtihan upya je atakua sahihi
 
Inshu ya mwanafunzi kwenda TAKUKURU ni Kwa sababu ya marks zenu nyie baada ya mwalimu kufanya marekebisho mkawa above 50, Lakini yeye na wenzake wa nne wakawa below 50. Kitendo hicho ndicho kilicho mfanya yeye akimbilie TAKUKURU Kwa imani yake ya kuwa nyie mlio pata above 50 baada ya marekebisho maybe mlitoa rushwa, Ndo maana hakukubali kwanini yeye na wenzake wamefanyiwa marekebisho lakini bado below na nyi e mmefanyiwa marekesho mko above. Akawaza ni rushwa ndiyo ime take place.
ok sawa kwa maoni yako unamshuauli huyu mwanafunzi achukue hatua zipi? Mkuu
 
Aise inasikitisha sana, hapo hamna ujanja ni REPEAT mkuu
Ukiwa class piga msuli kinomanoma vyuo vya afya sio mchezo
Nikikumbuka nikisoma siamini kama nimemaliza na wala sitaki kusikia mambo ya kusoma tena.
 
Poleni na majukum wakuu, kama kichwa cha habari kinavo jieleza jana usiku nilipokea cm kutoka kwa mwanafunzi X wa chuo cha afya tabora kijulikanacho kama TABORA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,hiki chuo kipo katika hospital ya rufa ya mkoa wa tabora almaarufu kama kitete hospital wanatoa course moja (dipromal in clinical medicine ).Mwanafunzi huyo alinipigia cm huku akinieleza kwa majonzi makubwa juu ya changamoto iliyo mkumba hapo chuo changamoto yake iko hivi,

Anaanza kwa kueleza Mim ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 niko muhula wa kwanza tulianza kwakufanya Continuous assessment za muhula huo wa kwanza ikiwemo (CAT1) na assignment za masomo yote 5 shida ilianza tulivo maliza kufanya Continuous assessment2(CAT2) shida ilijitokeza baada ya matokeo kutoka kwani ili uwe eligible kufanya mtihan wa mwisho ya end of semister inatakiwa hizo components zako uwe above 50 yan kuanzia assignment mpaka mitihan ila pia usipo kua above basi course work isome kuanzia 20. Ispokua kwa upande wa somo moja lijulikanalo kama Surgical specialties hili somo lina part inayo jitegemea ijulikanayo kama OSCE(Objective Structured Clinical Examination)hii ukipata chini ya 50 inakubd urudia muhulu somo zima,hivo basi baada ya kurudishiwa majib ya mitihan yote kunabadhi ya wanafunzi 5 hilo somo hawakuweza kufaulu ikaamuliwa warud nyumbani na kurejea tena mwaka huu mwezi wa 9 chuo kwa ajili ya kusoma upya hilo somo moja ,kama mjuavyo sikuzi mitihan ya ndani ya end of semister kwangazi ya dipromal hasa upande wa afya hua kunautaratibu wa mwangalizi kutoka nacte kuja kasimamia zoezi zima la miyihan(chief External ) anakua mmoja na jukum lake ni kukagua kama chuo kimefata utaratibu wote wa nacte lakin pia kama wanafunzi wako eligible kufanya mtihan wa mwisho naabada ya hapo hua wanatoa mkeka unao onesha kua wanafunzi hawa wanaweza kufanya mtihan wa mwisho. Baada ya kutoa huo mkeka ambao external ali uthibitisha ikaonekana wanafuzni wa 5 wa mwaka wa 3 hawawez fanya mthini wa mwisho kwakua wameshindwa kufikisha marks 50 kwenye mtihan wao surgical specialities upande wa OCSE na wanafunzi walio baki 85 wakawa eligible kufanya mtihan wa mwisho na kweli wakafanya mtihan bila changamoto yoyoye sasa basi hawa wanafunzi wa 5 mmoja wao alienda takukuru kushataki kua wanafunzi wamejiongeza marks kwenyo soma hilo la OSCE na wakati walivo kuja kugawa mwalim alifanya correction kwa wanafunzi wote ila bahati mbaya yeye hakuweza kufikisha marks50 na kitu kilicho pelekea yeye kuanza kulala mika kua amebaniwa kupewa marks hakubal kuondoka pekeyake chuoni lazima aondoke na watu hivo akapeleka case takukuru akilalamika kua wanafunzi wamejiongezea marks na akaorodhesha majina ya wanafunzi anao dai wamejiongeza marks na mimi nikiwa miongoni mwao walio tajwa, huyo mwanafunzi akawasilisha barua yake takukuru .Na takukuru wakaibeba case bila hata kufatilia kujua huyo mwanafunzi alie andika hayo malala miko ni mtu wa aina ipi? hua ni mtu wa kulalamika kwa kila kitu,na mambo mengine sita yataja ivo basi takukulu wakapeleka hayo malalamiko chuoni na chuo wakawaita wanafunzi walio tajwa ila wanafunzi walio fika ni 3 wengine wa3 hawakuweza kufika kwa sababu mitihn ilikua imeisha na watu walikua makwao ila hao walioenda waliku bado wako mazingira ya chuo walivo fika wakapewa vitisho na kuelezwa kuhusu hiyo case ila walikataa kuhusika kufanya hicho kitu wakakaguliwa mitihan yao bila kuwepo huyo muwakilishi wa takukuru na wakalazimisha kukatwa marks mimi nilikua kwenye kundi ambalo hawakuitikia huo wito sababu nilikua likizo tiyari nikawa niko nje ya mkoa wa tabora na mthian wangu umekaguliwa bila mimi kuwepo na wamekata marks ,sasa basi matokeo yametoka jana na nimeandikiwa Field CA REPERT MODULES na mkumbuke kua msimazim kutoka nacte alithibitisha kua niko eligible kufanya mtihan na nimefanya mtihan vizuri ila walim wameshusha marks yangu kutokana na hayo malalamiko ya huyo mwanafunzi kwenda takukulu.

1:Je takukulu inahusika na maswala ya kitaluma kulingana na hayo maelezo? Na kama hapo haiingii nifanye nini basi

1:Je nifanye nini basi niweze kushinda hii changamoto yangu ?nifate utaratibu upi ili niweze kushinda hii case?

2:Na je chief external akishakagua mitihani na kuipitisha na watu wakafanye end mwalim wa ndan ya chuo anaruhusiwa kwenda kufanya mabadiliko kwenye matokea ya nyuma ya mwanafunzi ?

4:mwalim amekuja kufanya mashahihisho mwenyewe afu case anapewa mwanafunzi

Msaada wenu wakuu ni muhim ili tuweze kumsaidia huyu kijana naomba maoni na ushauri wenu wakuu🙏

Nb:
Hiki chuo kinatoa kozi ya clinical medicine pekeyake ila naambiwa kua Accademic ni mfamasi yani(Bpharm ) nadhan watu wa afya mnaelewa kua siku zote clinical medicine hua wanasimamiwa na MD lakin kwatu wanao soma pharmacy hua wanasimamiwa na watu wenye bachelor's ya Pharmacy ila hapo tabora nitofauti that y matatizo kama haya yanaibuka mala kwa mala hapo chuoni

Kada ya udaktari imeingiliwa sana siku hizi, Mungu atuepushe na vifo vya wagonjwa mahosipitali, imagine marks zinaenda kudaiwa TAKUKURU
 
Niatari mkuu serikali inawaamin walim ili walimu wanashindwa kusimamia miongonzo ya wizara
 
Kwa mujib wa mwanafunzi hakutoa pesa bali mwalim ndio aliwafanyie marekebisho wanafunzi wote class ila marks hazikufika kwa baadhi ya wanafunzi baada yakuona kua marks hazijafika ikabd akashtaki takukulu kwaiyo walim walivoona case imekuja chuo ikabd wazikane tiki zao na wanafunzi kupunguziwa marks .....shida nikua inawezekaneje case iende takukulu afu siku ya kupitia hiyo mitihan muwakirish wa takukulu asiwepo? wengine marks zimepunguzwa bila hata kuwepo kusikiliza utetezi wao pia mtu aliefanya ichokitendo cha kwenda takukulu alisema lazima aache amechoganisha wanafunzi basi na takukulu wakamsikiliza sasa basi kwa hari hii huyu mtu anasaidika au asubr tu kurudia module kisa uzembe wa mwalim?
Hapo una haki ya kupeleka malalamiko yako kwenye baraza la uongozi wa chuo kulalamika kwamba iweje zoezi la kupunguza alama lifanyike wakati mhusika haupo na wala haukasikilizwa?

Kuna kitu kinaitwa "Audi Alteram Pattern" kwa maana kabla ya kufikia uamuzi wowote lazima pande zote zipewe nafasi ya kusikilizwa.
 
Kwa mujib wa mwanafunzi hakutoa pesa bali mwalim ndio aliwafanyie marekebisho wanafunzi wote class ila marks hazikufika kwa baadhi ya wanafunzi baada yakuona kua marks hazijafika ikabd akashtaki takukulu kwaiyo walim walivoona case imekuja chuo ikabd wazikane tiki zao na wanafunzi kupunguziwa marks .....shida nikua inawezekaneje case iende takukulu afu siku ya kupitia hiyo mitihan muwakirish wa takukulu asiwepo? wengine marks zimepunguzwa bila hata kuwepo kusikiliza utetezi wao pia mtu aliefanya ichokitendo cha kwenda takukulu alisema lazima aache amechoganisha wanafunzi basi na takukulu wakamsikiliza sasa basi kwa hari hii huyu mtu anasaidika au asubr tu kurudia module kisa uzembe wa mwalim?
Case yake anashinda mapema sana kwa kipengele hicho tu cha kutosikilizwa.

Lakini kama ulipewa wito rasmi wa kufika mbele ya wahusika kwa ajili ya ukaguzi na ukakosa kufika pasipo kutoa udhuru wowote hilo ni tatizo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom