Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

WE PUMZIKA KWANZA TAFUTA MTU ANEYE FAHAMU VITUO VYA POLISI NAWALA USIENDE WEWE.PILI USIPANIKI MAANA MAZINGIRA YA RUSHWA YANA TENGENEZWA.
POLISI WENGI WA KUTRACK WENYE SIFA NI OSTABEY ALIKUJA JAMAA MWEUPE NINI AU RANGI AINA GANI NIKUPE KITUO
 
Poleni sana kwa hiyo changamoto kubwa iliyowapara. Mtafuteni huyu +255620898989, hana shida anaweza kuwapa mwongozo wa kuwatoa wasiwasi.

Ova

Dah! Poleni sana ndugu zangu kwa hiyo changamoto kubwa iliyowakuta. Waambie wajaribu kumtafuta huyu +255620898989.

Hana shida anaweza kuwapa mwongozo wa changamoto yao na kuwatoa wasiwasi.

Ova
Asante kwa niaba mkuu,namba itawafikia usiku huu na nitawaambia asubuhi wampigie kuomba msaada Zaid na nitaleta mrejesho yatakayojiri huko.
 
WE PUMZIKA KWANZA TAFUTA MTU ANEYE FAHAMU VITUO VYA POLISI NAWALA USIENDE WEWE.PILI USIPANIKI MAANA MAZINGIRA YA RUSHWA YANA TENGENEZWA.
POLISI WENGI WA KUTRACK WENYE SIFA NI OSTABEY ALIKUJA JAMAA MWEUPE NINI AU RANGI AINA GANI NIKUPE KITUO
Inaonekana unajuana nao sana mkuu,ila sijauliza walivyo Zaid ya majina Yao basi saidia hata kidogo kuwaulizia hao washikaji zako jamaa wamempeleka wapi màana mkewe anashindq njaa na mtoto mdogo Leo nimewatumia elfu sita watoe elfu tano nikiwa kwenye mlango WA bar nikanywe bia Tatu nikaghair nikarud home kwa uchungu.

Inauma sana mkuu
 
Kaka naomba unisaidie kunielezea matatizo yangu kwenye ule mtandao wenu wa jamii forums ulionisaodia kipindi kile,wakati huu nahitaji msaada sana

Haya ni maneno ya binti ambaye anaitwa Rahma Shaabani Kiwangala,mwenye mtoto mdogo wa takriban mwaka mmoja mkazi wa Manzese mburahati ,mtaa wa kwa jongo Kata ya makurumla ambaye saa nane usiku akiwa na mume wake nyumbani walifuatwa na mjumbe wa mtaa anayeitwa Zuhura Ngwenje namba zake ni 0715328582(yupo tayari kutoa ushirikiano) akiwa ameambatana na maaskari wawili WA kituo kikubwa cha polisi CHANIKA MWISHO ambao majina Yao ni Mussa Ally na Bonifas Gablier ambao walimkamata mume WA binti huyu anayeitwa OMAR MWELEA HUSSEIN kwa kosa la kununua simu ya wizi.

Polisi hao wawili walimchukua mpaka kituo kikuu cha polisi CHANIKA MWISHO,asubuhi ndugu WA mtuhumiwa walikuja kumuangalia ndugu Yao na kufuatilia kesi yake wakaambiwa kesi IPO kwenye upelelezi na hawakupewa ruhusa ya kumuona ndugu Yao,kuanzia siku hiyo kila wakija kufuatilia wakawa wanazungushwa bila kuruhusiwa kumuona ndugu Yao,na wakati mwingine wakawa wanakuja na mjumbe wao aliyefanikisha kukamatwa kwake lakini jibu la mwisho wakajibiwa kwamba HAKUNA KESI KAMA HIYO KITUONI HAPO NA WASIENDE TENA KUFUATILIA HAPO.

Binafsi nimempgia mjumbe na amekiri kutokea kwa tukio hilo na amesikitika sana kwa sheria kupindishwa na ndugu hao kutopata haki ya kusikilizwa,kujua wapi alipo ndugu Yao na amesema ameenda kwa mkuu kulifikisha swala hilo na amewakuta maaskari hao wapo kituoni hapo na akawatambua kuwa ndio walewale walikuja kumkamata Bwana Omary lakini bado hakupewa ushirikiano wowote.

Tukio hili limetokea usiku WA tarehe 18 mwez WA pili jumamosi kuamkia jumapili saa nane usiku.mpaka Leo umetimia mwezi mmoja bila ndugu kujua lolote na wameambiwa Hakuna kesi Kama hiyo WASIENDE kufuatilia kituoni HAPO.

Tunaomba serikali ya Jamhuri ya Tanzania iwasaidie ndugu hawa kujua ukweli unaofichwa ni upi katika hili, ili iwasaidie familia hii kujua alipo ndugu Yao?

Mke wake na ndugu kwa ujumla wanasema wanahitaj tu kujua hata Kama polisi hawa wamemuuwa ndugu Yao basi waonyeshwe mwili wakazike ama wajue tu kuwa ameuwawa wazike nguo zake.

Inauma sana kwa kweli imagine ni ndugu yako ndio amefanyiwa hivyo,ndugu zangu tumsaidie huyu Bwana asiyejulikaana alipopelekwa,familia yake na mke wake kwa ujumla angalau wafaham alipopelekwa na polisi hawa

Tukumbuke Tanzania ni ya kwetu sote,na sote tuna haki sawa.

Mama wasaidie wanao,kwani waliopewa mamlaka ya kusaidia ndio wamepata maguvu ya kukandamiza wenzao
Is simple polisi watakuwa wamemuua ama kumjumuisha na kesi za kubambika zisizo na dhamana.

Tanzania ipo sasa imewekwa mikononi mwa watu wasiozingatia Utawala wa Katiba na Sheria
 
Hapana,Tanzania yetu tunayoijua,kuipenda na kuilinda kwa jasho na damu ni Tanzania ileile ambayo haijawekwa wala haitawekeka mikononi mwa watu wasiozingatia utawala WA Katiba na sheria.ISIPOKUWA kuna watu wachache ambao wao wanajiona wana mamlaka ya kuifanya Tanzania yetu vile watakavyo bila kujali Katiba na sheria kutokana na nafasi ama vyeo vyao,hawa sasa wanatakiwa washughlikiwe IPASAVYO hili wasiiharibu nchi yetu mkuu
 
Hata ukatae vipi.
Haya matukio yanajirudia rudia na hakuna anayewajibika. Huko juu wapo bize kupanga safu wala hawana muhaka na haya madudu yanayoendelea.

Kununua simu ya wizi ina penal code yake. Kwa nini polisi wajitwalie sheria?

IGP analea huu uhuni anapaswa kuzingatia jukumu la Kikatiba na siyo kuendesha taasisi kama kikosi cha kudhuru wananchi
 
Hayo maelezo. Kuna vitu binti anaficha.

Polisi sio wajinga hawakurupuki.

Mpaka polisi wakufate nyumbani usiku wa manane maana yake wameshakujua tabia zako. Mnunuzi wa kawaida angepigiwa simu tu afike kituoni. Ndio angekamatwa..ila wa kufatwa usiku wa manane ujue ni mtu wa matukio.

Kununua simu ya wizi sio sababu kuu

Mimi nilivyoona mkazi wa mburahati na mambo ya simu ya wizi. Akili yangu inaniambia mumewe ni mwizi mtu wa matukio. Kuna maeneo dar es salaam yamejaa watu wa matukio ndio wanaishi. Mojawapo ni kigogo mburahati, tandika kwa kindande, yombo taa nyekundu, chanika. Hayo maeneo yamejaa vibaka na majambazi

Huyo mumewe ni mwizi na polisi huwa hawawacheleweshi wezi. Ajiandae kufata mwili
Mwizi aliyekamatwa na polisi bila usumbufu na mjumbe shuhuda, anauawa kwa kosa lipi?

Na siyo polisi wanaoyufundisha tusichukue sheria mkononi?

Usishabikie hali hii, leo kwake kesho kwako na kama siyo kwako basi nduguye litampata. Utajisikiaje?
 
Ni kipengele kipi cha sheria unasindikiza na hii hoja yako?

Au kuna hukumu ya kifo imeshatolewa na mahakama kisha rais ameshaisaini na polisi wametumwa kuitekeleza?

Nyie wauaji mnaotumwa na serikali msidhani mtabaki salama tukisharejea kwenye utawala wa katiba na sheria
 
Inauma sana kaka,mm nilipopewa hii habari na nikapiga simu kwa mama WA aliyepotezwa na wake zake kujiridhisha na mjumbe pia nilijisikia uchungu sana,mpaka nimewaandikia waraka huu bado najisikia uchungu sana,.sasa sijui wao wenye ndugu wanajisikiaje na Hali ya kuwa polisi hao waliohusikq wanawaona wanadunda Kama kawaida!
 
Inaonekana unajuana nao sana mkuu,ila sijauliza walivyo Zaid ya majina Yao basi saidia hata kidogo kuwaulizia hao washikaji zako jamaa wamempeleka wapi màana mkewe anashindq njaa na mtoto mdogo Leo nimewatumia elfu sita watoe elfu tano nikiwa kwenye mlango WA bar nikanywe bia Tatu nikaghair nikarud home kwa uchungu.

Inauma sana mkuu
KUNA SEHEMU POLISI WAMEZIWEKA BLACK SANA KUTOKA KUNACHUKUA MDA AU KUPOTEA KABISA:
KAMA WEWE UKISEMA AU UMEKAMATWA UNATOKEA SEHEMU HIZI DAR:
TANDARE
MANZESE
MBURAHATI
KIGOGO
BUGURUNI
TEMEKE
YOMBO
TEMEKE
MBAGARA
BUZA
TANDIKA
MAGOMENI POPO BAWA
ARGENTINA
MABIBO
MWANANYAMALA
KAWE USWAHILINI.

KUNA MAWILI KUPIGWA SANA NA KUWEKWA KITUO BILA KUANDIKISHWA AU KIFO KAMA MUHUSIKA.

ULIPONIAMBIA KWA NENO KWA JONGO TU.
SEMA TAFUTA MTU AMBAYE ANAWEZA KUWAPA MSAADA SIO KUANZISHA MANENO MTAMKOSA MIRAD AYO AJE KUINGIZA MSHIKO KWENYE VIWER YOUTUBE
 
Hayo maelezo. Kuna vitu binti anaficha.

Polisi sio wajinga hawakurupuki.

Mpaka polisi wakufate nyumbani usiku wa manane maana yake wameshakujua tabia zako. Mnunuzi wa kawaida angepigiwa simu tu afike kituoni. Ndio angekamatwa..ila wa kufatwa usiku wa manane ujue ni mtu wa matukio.

Kununua simu ya wizi sio sababu kuu

Mimi nilivyoona mkazi wa mburahati na mambo ya simu ya wizi. Akili yangu inaniambia mumewe ni mwizi mtu wa matukio. Kuna maeneo dar es salaam yamejaa watu wa matukio ndio wanaishi. Mojawapo ni kigogo mburahati, tandika kwa kindande, yombo taa nyekundu, chanika. Hayo maeneo yamejaa vibaka na majambazi

Huyo mumewe ni mwizi na polisi huwa hawawacheleweshi wezi. Ajiandae kufata mwili
Pumbavu kabisa..wewe ni hasara ya kizazi chako mbwa Koko ww
 
Ni kipengele kipi cha sheria unasindikiza na hii hoja yako?

Au kuna hukumu ya kifo imeshatolewa na mahakama kisha rais ameshaisaini na polisi wametumwa kuitekeleza?

Nyie wauaji mnaotumwa na serikali msidhani mtabaki salama tukisharejea kwenye utawala wa katiba na sheria
Huwa siamin kabisa katika hii paragraph yako ya Tatu mkuu,..Serikali haitumi wauaji,yaani serikali haswa iwakusanye wewe na wewe na wewe kamanda ova kafanyeni mauaji kwa hawa raia kwa sababu hii na hii ..Mimi huwa nasikia sikia ila hili jambo halipo bhana.

Isipokuwa naamini kuna vikundi vya wahuni wenye mamlaka ama waliopewa dhamana na serikali wanafanya uhuni huo kwa faida Yao wenyewe bila serikali kujua na serikali ukitaka kuingilia kwa kuwa wao ndio njia ya kupitia wanayafumbafumba ndio màana mpaka Leo hatupati ukweli.

Ila serikali Kama serikali kutuma wauaji hapana..au mm sijui màana yaa serikal kwani serikali ni nini mkuu..serikali?kuna jamaa hapa pemben ananijibu et serikali ni sirikali pumbaf zake.
 
Inauma sana kaka,mm nilipopewa hii habari na nikapiga simu kwa mama WA aliyepotezwa na wake zake kujiridhisha na mjumbe pia nilijisikia uchungu sana,mpaka nimewaandikia waraka huu bado najisikia uchungu sana,.sasa sijui wao wenye ndugu wanajisikiaje na Hali ya kuwa polisi hao waliohusikq wanawaona wanadunda Kama kawaida!
Ndugu yangu
Serikali hii ambayo haijali hali za raia wake usidhani kama huu uchungu tunaouona hapa kwa hao wenye mamlaka yaani wakubwa wa polisi na watawala haupo kwa kuwa mhanga hana udugu nao.

Tumuombee mtanzania mwenzetu kama hajakutwa na baya basi ashtakiwe na kuhukumiwa kwa haki ili sheria imhukumu na siyo utashi wa washika bunduki
 
Huwa siamin kabisa katika hii paragraph yako ya Tatu mkuu,..Serikali haitumi wauaji,yaani serikali haswa iwakusanye wewe na wewe na wewe kamanda ova kafanyeni mauaji kwa hawa raia kwa sababu hii na hii ..Mimi huwa nasikia sikia ila hili jambo halipo bhana.
Mwangosi alifanywa nini na nani? Unakumbuka Kamuhanda alishatoa neno kabla ya yale mauaji?

Akwilina aliuawa kwa risasi ya polisi. Niambie lengo la risasi ya moto kwenye ile issue ambayo raia hawana silaha na risasi ikampiga Akwilina akiwa ndani ya daladala akiwa ahusiki na maandamano...

Unakumbuka video za ile commotion ya Mwembechai? kupitia runinga tuliona risasi zikirindima huku zikitoka akri piga yule piga yule.....

Hii nchi imeshaondoka kwenye misingi yake ndo maana haya yanatokea na hakuna anayewajibika
 
KUNA SEHEMU POLISI WAMEZIWEKA BLACK SANA KUTOKA KUNACHUKUA MDA AU KUPOTEA KABISA:
KAMA WEWE UKISEMA AU UMEKAMATWA UNATOKEA SEHEMU HIZI DAR:
TANDARE
MANZESE
MBURAHATI
KIGOGO
BUGURUNI
TEMEKE
YOMBO
TEMEKE
MBAGARA
BUZA
TANDIKA
MAGOMENI POPO BAWA
ARGENTINA
MABIBO
MWANANYAMALA
KAWE USWAHILINI.

KUNA MAWILI KUPIGWA SANA NA KUWEKWA KITUO BILA KUANDIKISHWA AU KIFO KAMA MUHUSIKA.

ULIPONIAMBIA KWA NENO KWA JONGO TU.
SEMA TAFUTA MTU AMBAYE ANAWEZA KUWAPA MSAADA SIO KUANZISHA MANENO MTAMKOSA MIRAD AYO AJE KUINGIZA MSHIKO KWENYE VIWER YOUTUBE
Mtu ambaye anaweza kutupa msaada ndio hapa anatafutwa kaka ,m

Mtu ambaye anaweza kutoa msaada ndio hapa anatafutwa kaka,TENA anayewatafutia ni mtu mwingine kabisa aliyejitolea màana wao wameshakuwa wanyonge na kujiona Kama wakimbizi kwenye nchi Yao wenyewe na hata Mimi wameniambia maneno haya nimejisikia uchungu sana ''Baba huko unakoenda kuandika hili ujadili na watu kuwa majini Baba màana usije ikapata matatizo na wewe nchi ina wenyewe hii Sisi masikini hatuna màana yoyote'' halafu hawa hawa ndio wapiga Kura.

Kama unaweza kuwasaidia lakini bila rushwa mpigie mjumbe namba yake IPO kwenye bandiko wasaidie Mungu atakulipa ama utakuwa umetimia wajibu wako.
 
Kwa maneno yako mwenyewe unakiri ninachosimamia kwenye hoja yangu.
Nchi imekosa weledi. Ukijifanya mwema wanakuua
 
Back
Top Bottom