sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Hakuna mwenye freeness ya kuzingua huko mtaani NO ONE IS ABOVE THE LAW.hata polisi akizingua raia au police wenyewe wana mamlaka ya kumdaka au kumkamata hata huyo mwanajeshi akizingua anaweza kamatwa na raia na police pia.KWANZA NENO KUZINGUA sijui limesimama badala ya kitenzi kipi?mwana jeshi akizingua uraiani anashikishwa adabu na polisi kihalali kabisa kwa sababu polisi ana hayo mamlaka.
Mwanajeshi hana mamlaka mtaani bali ni polisi.
polisi wenye vyeo vikubwa huwa ana msafara wenye kingora
mkizinguana na polisi mnapelekwa kituoni, huko kituoni wenzake wanaweza kufanya jambo ukajutiaAhaa! Kumbe...Kwa hiyo Akizingua Tunazinguana au?
Wewe ni polisi? Tusije kukataana huko mbela
Ukimzingua mjeda je?ukimzingua polisi unapelekwa kituoni, huko kituoni kwa wenzake nakuahidi utapata burudani nzuri mno
polisi akimzingua mjeda unadhani wakipelekwa kituo cha polisi watakuwa upande wa nani ?Ukimzingua mjeda je?
ndio hapo sasa, tunarudi pale pale kwamba polisi na nguvu zaid, polisi akidakwa ana wenzake tayari kituoni ambao ni kama familiaHakuna mwenye freeness ya kuzingua huko mtaani NO ONE IS ABOVE THE LAW.hata polisi akizingua raia au police wenyewe wana mamlaka ya kumdaka au kumkamata hata huyo mwanajeshi akizingua anaweza kamatwa na raia na police pia.KWANZA NENO KUZINGUA sijui limesimama badala ya kitenzi kipi?
kwenda vitani hakuondoi nguvu na madaraka ya polisi.Hivi polisi wanaendaga vitani???
Hayo mabishano ni kwa maalumu kwa watoto ambao hawajui hata athari za kupanda kwa bei ya mafuta ya Petrol kwenye maisha yenu ya kila siku hapo Tanzania.Habari yeni wanajamii forums, kuna ubishi hapa wa nani ana nguvu na mamlaka makubwa kati ya polisi na mjeda (mwanajeshi)
kwa maoni yangu naona polisi ndio wana nguvu kubwa zaidi,
-wao ni law enforcers
-wana kibali cha kumuweka chini ya ulinzi mtu anaevunja sheria
-kupeleleza mawasiliano katika mitandao ya simu
-polisi hata akivunja sheria atakamatwa na wenzake wanaojuana
-polisi ana mamlaka ya kumkata hata mwanajeshi
-polisi wenye vyeo vikubwa wana msafara, n.k.
-kwa polisi wanaojinifaisha kinyume na hii nguvu yao huwa wanapiga hela si mchezo, kuanzia rushwa za matrafki, rushwa za kufuta kesi, n.k
Hapo ni hivi kila mtu ana jukumu lake Huyu RAIA NA MALI ZAKE YULE KULINDA AMANI NA MIPAKA YA MCHI NA VITA kwa hiyo kuna mkanganyiko mkubwa kwa sababu ukija upande mwingine JWTZ NI JESHI SENIOR KULIKO POLISI tena ukifungua vitabu unakuta TZ POLISI ILIANZA ZAMANI KULIKO JWTZ yaani hata haviendanindio hapo sasa, tunarudi pale pale kwamba polisi na nguvu zaid, polisi akidakwa ana wenzake tayari kituoni ambao ni kama familia
kozi kuwa ngumu haimaanishi kazi yake itakupa nguvu na mamlaka makubwaKazi ya Police Ni ulinzi wa raia na haki zao (mali zao) Kazi ya Jeshi Ni kulinda mipaka ya nchi hii dhidi ya external attacks,
-bottom line kozi ya Jeshi Ni ngumu Sana kuliko ya Polisi,
- kozi ya kiafisa ya Jeshi Ni ngumu maradufu ya kozi ya kiafisa ya Police
Vitani kila mtu anakwendaHivi polisi wanaendaga vitani???
hayo mafunzo wanayapata muda gani..ya kutumia silahaVitani kila mtu anakwenda
Hadi raia, si umeona ukrain
Ova
Kila kundi licheza party yako na hayaingilianiHabari yeni wanajamii forums, kuna ubishi hapa wa nani ana nguvu na mamlaka makubwa kati ya polisi na mjeda (mwanajeshi)
kwa maoni yangu naona polisi ndio wana nguvu kubwa zaidi, najua wana uwezo huu (kama nimekosea mnisahishe)
-wao ni law enforcers
-wana kibali cha kumuweka chini ya ulinzi mtu anaevunja sheria
-kupeleleza mawasiliano katika mitandao ya simu
-polisi hata akivunja sheria atakamatwa na wenzake wanaojuana
-polisi ana mamlaka ya kumkata hata mwanajeshi
-polisi wenye vyeo vikubwa wana msafara, n.k.
-kwa polisi wanaojinifaisha kinyume na hii nguvu yao huwa wanapiga hela si mchezo, kuanzia rushwa za matrafki, rushwa za kufuta kesi, n.k