Naomba mkopo wa tsh 20,000

Naomba mkopo wa tsh 20,000

Kama hueleweki hakuna atakuelewa.
Kama unaficha mambo utasaidikaje?

Unataka zaidi kujiajiri kulingana na mazingira yako.je mazingira yako yapoje?

Mazingira yangu si rahisi sana kwa sasa mkuu, na mtaji ni changamoto kubwa. Sifichi kwa maana ya kukataa ushauri, ila naamini si kila jambo lazima lielezwe kwa undani hadharani. Niko tayari kujifunza na kupokea ushauri wenye kujenga.
 
Njoo
IMG-20261003-WA0031.jpg
 
Back
Top Bottom