1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 728
- 1,827
- Thread starter
- #21
Naomba kwa ndg Zangu na rafiki Zangu WA dhati app hapana Nitakurejeshea utakaee niwezeshaKuna Apps za mikopo nyingi tuu.
Naomba kwa ndg Zangu na rafiki Zangu WA dhati app hapana Nitakurejeshea utakaee niwezeshaKuna Apps za mikopo nyingi tuu.
Don't say that bruh Sielewii hata an Nimeomba Tafadhali nitarejeshaIla we jamaa 😂😂😂😂 dah
insha'AllahMungu akusaidie upate suluhisho...
Pambana bila kuchoka kwote jua ni Kali mkuuWe Ndg Angu umenikataa kabisa an ...anyway sawa
Hatuwezi saidia jitu lina omba kila siku, sasa si bora akapelekewe moto tu hukoWanaume hapa huwezi kuwaona wakimsaidia mwanaume mwenzao, basi sio hela, hata njia ya kupata hiyo pesa hakuna.
Ila huyu akianza kutolinda mgongo wake ili apate hiyo pesa, wataanza kumuandama na kupiga makelele.
Wanaume acheni unafiki, msaidieni mwenzenu huyu.
Unaomba omba sana na wewe Mzee😡😡mara useme unaomba Hela ya kula mara sijui dawa mkuu kwani wewe ni kiwete??Naomba Naomba Mwenye Nayo....
Nyie si mnapendana? Msaidieni basi mwenzenu.Wadada mna huruma sana msaidie mwamba aisee.
Ndio ukakope huko kwenye app kisha utarejesha.Naomba kwa ndg Zangu na rafiki Zangu WA dhati app hapana Nitakurejeshea utakaee niwezesha
😂😂😂Wanaume hapa huwezi kuwaona wakimsaidia mwanaume mwenzao, basi sio hela, hata njia ya kupata hiyo pesa hakuna.
Ila huyu akianza kutolinda mgongo wake ili apate hiyo pesa, wataanza kumuandama na kupiga makelele.
Wanaume acheni unafiki, msaidieni mwenzenu huyu.
Wengine tumepigika tu kama yeye ndio maana tupo kimya. Tutamuombea.Wanaume hapa huwezi kuwaona wakimsaidia mwanaume mwenzao, basi sio hela, hata njia ya kupata hiyo pesa hakuna.
Ila huyu akianza kutolinda mgongo wake ili apate hiyo pesa, wataanza kumuandama na kupiga makelele.
Wanaume acheni unafiki, msaidieni mwenzenu huyu.
mkuu si watakutafta kwa lain inayopatikana na ID yako mzeeNunua line mpya.
Ingia playstore download apps za kukopa hata 10.
Minimum unaweza kukopa 10,000
Kopa maximum amount unayoweza kukopa.
Toa pesa. Tupa line.
Alhamdulillah! Asante sana kwa wote walionisaidia, walionitia moyo na kuniombea. Nimefanikiwa kupata nilichokuwa nahitaji. Mungu awabariki kwa wema wenu na awazidishie pale mlipopunguza. Shukrani zangu za dhati.Mawazo255 nitumie namba yako nikutumie 20K kabla uzi haujafutwa