Dodoma comfort
JF-Expert Member
- Apr 20, 2024
- 475
- 872
Mbona unapenda migongo wewe why🤐Wewe kijana, watu wamesema shida nini? Na km hutaki kuweka matatizo yako wazi, basi useme wakutafutie kazi ili ujipatie pesa yako mwenyewe. Hebu toa ushirikiano kwenye hili.
Hakuna cha buree ujue? Au unataka mgongo ukunjwe?? Eeeh?