Naomba mkopo wa tsh 20,000

Naomba mkopo wa tsh 20,000

Huyu jamaa hayupo serious na mimi namchukulia kama anafanya aina ya utapeli laini kwa kutaka kuonewa huruma.
Jamaa nilimuunganisha na mtu ampe nafasi ya kibarua akadanganya mambo meengi mwisho akawa hapokei sim.
Kijana huyu kwa kutumia namba tofauti za simu nikiagiza watu wamtafute kwaajili ya kumpa kibarua lakini amekua akisema yupo sehem ama maeneo tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
Kijana huyu anasisitiza kusaidia pesa tu, lakini hataki kabisa kufanya kazi.
Kwakifupi nilimfuatilia sana na marakadhaa nilimsaidia kiasi pasipo kumwambia lakini bado ameendelea na tabia yake ya kupenda kuomba na anasingizia ili aonewe huruma.
 
Njoo PM nikupe mchongo wa kupiga hela haraka haraka
Sio Mimi Io Id Tafadhali
 
Huyu jamaa hayupo serious na mimi namchukulia kama anafanya aina ya utapeli laini kwa kutaka kuonewa huruma.
Jamaa nilimuunganisha na mtu ampe nafasi ya kibarua akadanganya mambo meengi mwisho akawa hapokei sim.
Kijana huyu kwa kutumia namba tofauti za simu nikiagiza watu wamtafute kwaajili ya kumpa kibarua lakini amekua akisema yupo sehem ama maeneo tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
Kijana huyu anasisitiza kusaidia pesa tu, lakini hataki kabisa kufanya kazi.
Kwakifupi nilimfuatilia sana na marakadhaa nilimsaidia kiasi pasipo kumwambia lakini bado ameendelea na tabia yake ya kupenda kuomba na anasingizia ili aonewe huruma.
Acha Kusingizia Ndg Angu 🙏 🤟 Yote kheri lkn
 
Ukweli ni kwamba, kuna watu wanaona kama nasimulia au nasisingizia mambo mengi, lakini hakuna anayejua ninayopitia nyuma ya pazia. Si kila jambo ninalosema ni kutafuta huruma, wala si kila changamoto ni kisingizio.

Wakati mwingine mtu anapozungumza kuhusu hali yake, anahitaji tu kueleweka, si kuhukumiwa. Najua siwezi kumshawishi kila mtu aniamini, lakini muda na matendo yangu vitazungumza. Sina haja ya kujitetea kila siku, maana najua ukweli wa maisha yangu.
 
Sitaki nikusingizie wengine hatupp humu kwaajili ya kusingizia watu.
Kwataarifa yako nikianza kukufuatilia (ili nikusaidie) baada ya kua naona nyuzi zako na mwisho niligundua wewe ni wale vijana wasio jitambua kabisa aiseee
Asante Na nimekuelewa ila Siko hivyo Changamoto ninazopitia nyumban muumba pekee nisamehe Kaka Kama nimekukosea
 
Asante Na nimekuelewa ila Siko hivyo Changamoto ninazopitia nyumban muumba pekee nisamehe Kaka Kama nimekukose
Hupati hata mia mbovu dogo. Hatukupi.
Kama uko serious na shida we uza simu tu au iweke bond.
"Wenye shida hawana simu"- chid benz
Asante
 
NAOMBA MKOPO WA TSH 20,000 🙏

Habari zenu wanajamii. Naomba msaada wa mkopo wa TSh 20,000 kwa yeyote ambaye atakuwa na uwezo wa kunikopesha. Nina uhitaji wa haraka na nitajitahidi kurejesha ndani ya muda tutakaokubaliana.

Sio ombi la kuomba msaada wa bure, bali ni mkopo. Nitashukuru sana kwa yeyote atakayeguswa na kunisaidia katika kipindi hiki. Mwenyezi Mungu ambariki kila atakayejitokeza. 🙏
A yu me o ke¿
 
Asante Na nimekuelewa ila Siko hivyo Changamoto ninazopitia nyumban muumba pekee nisamehe Kaka Kama nimekukosea
Haujanikosea kijana, bali ninacho kisema nikwamba.... wewe ni kijana unaependa kuomba pesa wakati kazi hautaki kufanya.
Acha hiyo tabia mtoto wa kiume tena ukiniudhi nitakutia khelbu mujarab sasahivi....🤨
 
Asante Na nimekuelewa ila Siko hivyo Changamoto ninazopitia nyumban muumba pekee nisamehe Kaka Kama nimekukose

Asante
Changamoto unazijua wewe kila saa uko live hii bando unatoa wapi wewe unabet mkuu ,ukila mkeka unapotea unatoa nyuzi za kutokukata tamaa ukiliwa unakuja na uzi wa elfu 20.
Kama ukipata sema nikupe odds
 
Huyu jamaa hayupo serious na mimi namchukulia kama anafanya aina ya utapeli laini kwa kutaka kuonewa huruma.
Jamaa nilimuunganisha na mtu ampe nafasi ya kibarua akadanganya mambo meengi mwisho akawa hapokei sim.
Kijana huyu kwa kutumia namba tofauti za simu nikiagiza watu wamtafute kwaajili ya kumpa kibarua lakini amekua akisema yupo sehem ama maeneo tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
Kijana huyu anasisitiza kusaidia pesa tu, lakini hataki kabisa kufanya kazi.
Kwakifupi nilimfuatilia sana na marakadhaa nilimsaidia kiasi pasipo kumwambia lakini bado ameendelea na tabia yake ya kupenda kuomba na anasingizia ili aonewe huruma.
Kwa kifupi ni conman.

Tapeli.

life255
 
Back
Top Bottom