Naomba kuuliza tu !.Sio kwa ubaya ina maana wastaafu Polisi baada ya kufainikisha 2025 CCM inapita kwa haya mtakuwa na malipo makubwa au nafasi kubwa

Naomba kuuliza tu !.Sio kwa ubaya ina maana wastaafu Polisi baada ya kufainikisha 2025 CCM inapita kwa haya mtakuwa na malipo makubwa au nafasi kubwa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,525
Sina ubaya na polisi wetu ila kuna wengine naona washapewa maziwa na asali.

Haya ambayo hata mwano wa milambo tabora waliofukuzwa anaweza kukubari mzazi wake au ni pesa.

Yani pesa mnazo zitaka,damu za watu pamoja kulinda wao ina maana juice ya pasheni inatakiwa kuwa na limao sana.

Kwa dunia ya sasa hakuna anayeweza kuwafanya lolote ila mtakuja kujutia kuwa washirika wazuri wa imani wakati wananzengo wanajua.

Niombi maana hata yale ya kibiti mliyatengeneza wenyewe bila kujua.

Jamii yenu inawapenda sana ila wachache wanafanya kuonekana kuwa sio jamii yenu.

Demokrasia ina familia zenu na sisi walala hoi.
 
Back
Top Bottom