Tulivyokuja mwanzo tuliwekaWewe mbona hujaweka?
Umejuaje siyo yetu?Wewe mbona hujaweka
Hapana kwa kweli maana hata majina tunavyo tumia sio yetu
Umejuaje?Siamini kama utaratibu ni huo, jf tunalinda faragha zetu
Nilipojiunga niliweka mkuu na hiyo unayoiona ni picha yanguWewe mbona hujaweka?
Zamani ipi na ndio kwanza mgeni? Unaomba ukaribisho?Ndiivyo ilivyo. Ni najua hivyo toka zamani
Karibu SanaHabari wanajukwaa wa jamiiforums
Mimi nni mgeni na ninafuraha kujumuika nanyi.
Ni matumaini yangu tutabadilishana mawazo, uzoefu na ujuzi
Asanteni
Mgeni menyeji.Zamani ipi na ndio kwanza mgeni? Unaomba ukaribisho?
Toa mfano wa ulivyo kuwa unaviona kupitia social mediaNilikuwa naona na kusoma kupitia social media hawakuwa anataja majina rasmi