Manyoni mpo? Naomba mnijuze hoteli au lodge nzuri ya kufikia

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,421
7,973
Nitakuwa hapo kuanzia kesho kwa wiki mbili, wenyeji naomba mnijuze hoteli au lodge nzuri ya kufikia, bei usizidi elfu sabini, pub nzuri ambayo ina utulivu, maeneo ya kutembelea yenye utulivu na usalama
 
Kuwa makini makuu jitahidi usipige mademu wa pale...kama unataka ku relax bora utoke na demu wako huko mkoa unaotoka.

Usije kashetani kakakujaribu kwamba upige mademu wa pale maana masela huwa tuna kautaratibu tukifika eneo geni tunataka tupige mechi za ugenini na hii imecost wengi..!
 
Bora atoke na demu wake huko anakotoka..maana mademu wengi wanapenda kusafiri hawezi kosa wa kumpa company. Ila asipige madem pale wiki mbili nyingi sana kwa mtu kushawishika kufanya mechi ya za ugenini🤣🤣🤣! Pale ni njiani
Singida nawaheshimu sana saiv manzi akinambia ni wa Singida sigusi tena! Nilikaaa sana bench za hospital ya sinza Palestine kusubir majibu
 
Back
Top Bottom