manzese

  1. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Manzese

    Kinaangalia barabara ya Morogoro road
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kiwanja manzese darajani

    Kiwanja kinauzwa manzese darajani
  3. F

    JamiiForums Tanzania Jana nilikutana na Yesu Manzese

    Najua wengi watashangaa hata kuhoji. Kwa vile Yesu anaishi mbinguni na duniani, si vigumu kumuona kama ambavyo nimemuona. Niaminini wanangu. Nilikutana naye tukapata kanywaji pale Manzese halafu akatoweka. Usishangae wala kupinga. Kwani, tunaambiwa kuwa Yesu alikula na kunywa na wenye dhambi...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Simba haina Golikipa: Itafungwa hata na Manzese United!

    Magolikipa wa Simba Hussein Abel, Kasali, Yakuob Lakren mgonnjwa na hatorudi karibuni , so hawa wote si level ya Simba . Ally Salum aliondoka, alilazimika maana hakupata namba. Simba itaendelea "kuchikichiwa" au "kutiwa kidude" mpaka watakaposajili magolikipa .
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baa ipo Manzese inapiga mziki kwa sauti kubwa hadi nyumba zinatikisika, tukiripoti hakuna hatua zinachukuliwa

    Kero yangu kubwa ni hapa Manzese Bar ya Kwa Mkwere wanafungua sana mziki kwa sauti ya juu mpaka nyumba zinatetemeka. Wanapiga kuanzia jioni mpaka asubuhi, ni miaka zaidi ya mitano sasa tunakosa usingizi, tukiripoti hakuna hatua zinazochukuliwa.
  6. NGAYANIMO

    JamiiForums Tanzania Rais wa Manzese Madee

    MADEE Historia ya Pendo, aliyekuwa mpenzi wa msanii Madee, ni hadithi ya kusikitisha ya kifo chake kupitia ajali iliyotokea miaka mingi iliyopita,Ni miaka takribani 16 Tangu kifo cha pendo kitokee.. jambo lililoacha alama kubwa maishani mwa Madee. Madee alionyesha huzuni yake kwa kutunga wimbo...
  7. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mrina, mmiliki wa Mrina Bar za Arusha na Manzese afariki

    Mmiliki wa Bar ya Mrina Arusha nyuma ya Golden Rose na Mrina Bar and Hall ya Manzese karibu na Lambo Bar amefariki. Ninachojuwa, huyu gwiji alikuwa maarufu kwa matukio ya "front" kwenye magodown ya mali na kwenye utekaji wa magari ya transit.
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Songea: Baada ya malalamiko ya Wananchi, RC wa Ruvuma afanya ziara kukagua Soko la Bombambili na masoko ya Manzese A

    Baada ya Wananchi na Wafanyabiashara kulalamika kuhusu hali duni ya mazingira katika Soko la Bombambili, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Abbas Ahmed Abbas amefanya ziara ya kukagua soko hilo pamoja na masoko ya Manzese A na B yaliyopo Manispaa ya Songea. Katika ziara hiyo, Mkuu wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania UVCCM Manzese wamvaa Heche kauli ya kuundwa kwa serikali ya mpito na kuongozwa na wageni ni uhaini

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Manzese wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wamekosoa vikali kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuhusu madai ya kutaka Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 urudiwe wakisema kauli hiyo inapaswa kupuuzwa kwani hakuna...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Manispaa ya Songea akabidhi eneo la Mradi wa Ujenzi wa Soko la Sh Bilioni 22.9 - Manzese A na B

    Machi 28, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com aliwasilisha andiko lake akilalamikia changamoto ya Miundombinu ya soko la Bombambili kwa kueleza Songea: Hali ya Soko la Bombambili si salama, wakati wa mvua hali ni mbaya Alisema Soko la Bombambili ambapo ndipo Wafanyabiashara walipohamishiwa...
  11. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

    Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5 na mpaka 100 Wale wote wenye maeneo watatoa maeneo hayo na kuwapa madeveloper Madeveloper watajenga...
  12. stan john

    JamiiForums Tanzania Msaada Hotel na lodge za manzese ya Bei nafuu 15-20

    Naomba msaada kwa anayejua ntaweza kupata hotel au lodge ya Bei 15 hapa maeneo ya manzese anitajie Nina uhitaji mkubwa Logde au hotel inayoanzia chumba 15 , naomba anitajie Au naomba mnitajie Bei za hotel na lodge manzese
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Tushiriki Uchaguzi, Piga kura kisha Linda Kura yako

    Ponda, Ado, Dorothy, Mchinjita wanaunguruma ndani ya Viunga vya Manzese, Juni 18, 2025 https://www.youtube.com/live/hZcBbjT8OhM "Safari hii tutatangazwa watake wasitake! Wabunge wa upinzani huenda bungeni kwa nguvu ya ulinzi wa kura. Kupiga kura ni haki, na kulinda kura pia ni haki." Naibu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tunauza Digital Kids Watch

    Kids digital watches Zinapatikana kwa bei ya 5,000/= tu Tupigie au whatsup 0762619116 Tupo manzese tiptop near JM hotel
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtibeli Leo nitasali Kanisa la Wasabato Manzese. Karibuni

    Habari za Sabato! Leo nitakuwa Kanisa la Wasabato Manzese. Huko natarajia kubarikiwa Sana. Ninaupenda mtaa wa Manzese kwa sababu umebarikiwa Kwaya kubwa Mashuhuri hapa nchini. Kwaya ya Mbiu, na Kwaya ya Angaza, na Kwaya ya Sauti ya Nyikani. Tujumuike sote tukabarikiwe.
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mkuu wa Wilaya Ubungo apita vijiweni kata ya Manzese kusikiliza kero za wananchi

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa moto kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Baada ya kushindwa kesi na wadada wanaodhaniwa kufanya biashara ya kuuza mwili sasa atinga vijiweni kusikiliza kero za wananchi. Makonda kawainspaya wengi🌚. ==== DC Bomboko akiwa kata ya Manzese mtaa wa midizini katika kijiwe cha...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Mapishi ya Kitaa Festival Yatikisa Manzese, Washindi Wapatikana

    Tamasha la Kitaa Festival la Kampuni ya Coca-Cola limeanza rasmi Jumamosi hii, likiwatembelea wakazi wa Manzese Bhakresa jijini Dar es Salaam kufurahia utamaduni wa vyakula vya asili vya Watanzania. ‘Bakhresa Kitaa Fest’ iliwaunganisha wapishi, mashabiki wa vyakula mbalimbali, watu maarufu, na...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Manzese - Dar: Shaban Musa Adam(54) akamtwa kwa kutengeneza Dawa aina ya heroin na kuzisafirisha Mikoani

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya inamshikilia SHABAN MUSA ADAM (54) mkazi jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kutengeneza dawa za kulevya. Akiongea na Wanahabari Mkoani Dar Es Salaam leo 27 Julai 2024, Kamishna Jenerali Bw Aretas James Lyimo, amesema Mtuhumiwa alikamatwa...
Back
Top Bottom