KERO Responded Tovuti ya BRELA ORS haitumi Barua Pepe za Uthibitisho

KERO Responded Tovuti ya BRELA ORS haitumi Barua Pepe za Uthibitisho

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Tovuti ya BRELA ORS ina tatizo la kutotuma barua pepe za uthibitisho (verification emails) kwa watumiaji wanaojaribu kufungua akaunti mpya. Kutokana na tatizo hili, wananchi wengi wanashindwa kuamilisha akaunti zao na kupata huduma muhimu za usajili wa biashara.

Hali hii inasababisha usumbufu na ucheleweshaji wa huduma. Tunaomba tatizo hili lifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo.

MAJIBU YA BRELA ~ Ufafanuzi wa BRELA
 
Habari, hakuna changamoto upande wa kutuma barua pepe yenye LINK kwa wateja wetu baada ya kufungua akaunti kupitia mfumo wa BOS utapokea taarifa katika kisanduku pokezi (inbox) endapo hutaona ujumbe angalia taarifa upande wa SPAM ndani ya barua pepe yako. Kwa usaidizi wa haraka wasiliana nasi kupitia akaunti zetu za mitandao ya kijamii, barua pepe bos.support@brela.go.tz au kwa simu namba 0735331000

Zingatia kuwa: BRELA imefanya maboresho ya mfumo kutoka ORS na sasa ni BOS, mfumo ambao unatumika kutoa huduma ya usajili wa majina ya biashara, usajili wa kampuni, utoaji wa leseni za biashara kundi A na maombi ya leseni za viwanda. Ili kusajili bofya kiunganishi bos.brela.go.tz
WhatsApp Image 2026-07-28 at 18.48.24.jpeg
 
Back
Top Bottom