KERO Responded Mfumo mpya wa BRELA (BOS) una changamoto

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
Jun 26, 2024
Posts
41
Reaction score
57
Mfumo mpya wa BRELA (BOS) unasumbua sana, mtu akitaka kupata huduma mbali mbali kupitia mfumo huo, anapewa ujumbe wa "an unexpected error occurred. Please try again". Muda mwingine wanakuambia ufile "Please file the outstanding annual return(s) before submitting any company changes" hata kama hudaiwi annual returns zozote.

Kama kuna changamoto za kimfumo basi toeni hata taarifa kwa umma kufafanua hilo, tunaelewa mpo kwenye kuboresha mfumo, ila toeni taarifa rasmi mkielezea changamoto hiyo itatatuliwa lini. Simu kwa huduma kwa wateja nazo hazipokelewi...
1781614996923.png

1781615169989.png

=================================
UFAFANUZI WA BRELA...

hakika UMENENA! na mie napambana hadi sasa sijafanikiwa kitu!
 
Mfumo mpya wa BRELA (BOS) unasumbua sana, mtu akitaka kupata huduma mbali mbali kupitia mfumo huo, anapewa ujumbe wa "an unexpected error occurred. Please try again". Muda mwingine wanakuambia ufile "Please file the outstanding annual return(s) before submitting any company changes" hata kama hudaiwi annual returns zozote.

Kama kuna changamoto za kimfumo basi toeni hata taarifa kwa umma kufafanua hilo, tunaelewa mpo kwenye kuboresha mfumo, ila toeni taarifa rasmi mkielezea changamoto hiyo itatatuliwa lini. Simu kwa huduma kwa wateja nazo hazipokelewi...
View attachment 3609049
View attachment 3609050
Habari, mfumo wetu ulioboreshwa wa BOS upo sawa, kwa ujumbe wa an unexpected error occurred. Please try again hutokana na kutoa majibu tofauti wakati wa kujibu maswali kutoka NIDA kama muhusika alivyojaza taarifa zake NIDA, tunashauri muhusika atumie njia ya OTP kwa kujaza namba yake ya simu aliyosajili yeye mwenyewe kwa kutumia NIDA yake, kwa changamoto ya ANNUAL RETURN ambayo umekutana nayo tunaomba tutumie namba ya kampuni pamoja na jina la kampuni kupitia DM kwa ajili ya kukagua taarifa zako na msaada zaidi.
 
Habari, tunaomba kufahamu changamoto uliyokutana nayo kwa ajili ya msaada zaidi.
Maombi ya New Company/Change of Company/Annual Returns HAMYAFANYII KAZI MBONA
yamekwama tangu mwezi wa tano!

Are you guys Serious?
 
Mfumo mpya wa BRELA (BOS) unasumbua sana, mtu akitaka kupata huduma mbali mbali kupitia mfumo huo, anapewa ujumbe wa "an unexpected error occurred. Please try again". Muda mwingine wanakuambia ufile "Please file the outstanding annual return(s) before submitting any company changes" hata kama hudaiwi annual returns zozote.

Kama kuna changamoto za kimfumo basi toeni hata taarifa kwa umma kufafanua hilo, tunaelewa mpo kwenye kuboresha mfumo, ila toeni taarifa rasmi mkielezea changamoto hiyo itatatuliwa lini. Simu kwa huduma kwa wateja nazo hazipokelewi...
View attachment 3609049
View attachment 3609050
HUU MFUMO NI KICHEFUCHEFU, TAARIFA ZA ZAMANI HAZIHAMI, UKIPIGA SIMU HAWAPOKEI, UKIENDA WANAKWAMBIA WATAFANYIA KAZI, UKIONDOKA HAWAFANYII KAZI!
 
Maombi ya New Company/Change of Company/Annual Returns HAMYAFANYII KAZI MBONA
yamekwama tangu mwezi wa tano!

Are you guys Serious?
Habari,

Habari, tunaomba namba za maombi husika ambayo bado hujatumiwa majibu yako kwa ajili ya msaada zaidi.
 
HUU MFUMO NI KICHEFUCHEFU, TAARIFA ZA ZAMANI HAZIHAMI, UKIPIGA SIMU HAWAPOKEI, UKIENDA WANAKWAMBIA WATAFANYIA KAZI, UKIONDOKA HAWAFANYII KAZI!
Habari, tunaomba kufahamu ni taarifa zako zipi ambazo hazijahama kwenye akaunti ya muhusika ambaye ni sahihi kwa ajili ya msaada na maelezo zaidi.
 
Habari,

Habari, tunaomba namba za maombi husika ambayo bado hujatumiwa majibu yako kwa ajili ya msaada zaidi.
yaani BRELA mnafurahisha sana, sasa nikupie wapi hizo namba?
kwanza BOS yeu muda huu haifunguki?
1782381055869.png
 
Back
Top Bottom